nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Mkuu, inakuwaje unaumwa wewe, then "unamsaidia" daktari, nilitegemea kusikilizwa hasa ndiyo kuna umuhimu kabla ya vipimo(maana magonjwa mengine yana epukika, mengine ni ya kudumu, n.k..lakini kama nia ingekuwa "kusaidia" ingekuwa ujisikiapo dalili unaenda Maabara kupima tu na kununua dawa.
Nalijua hilo ila Ma Dokta wa Bongo wengi wao unaweza kufa na ugonjwa ingawa kila siku unaenda Hospital:
Akikuandikia BS na Majibu yakaja Negative: Utasikia huo utakuwa uchovu tu nenda kapumzike. Hivi kweli mwanaume kwenda hospital ujue nipo serious, sasa unapokosa Malaria tuangalie cha ziada.