nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Mkuu, inakuwaje unaumwa wewe, then "unamsaidia" daktari, nilitegemea kusikilizwa hasa ndiyo kuna umuhimu kabla ya vipimo(maana magonjwa mengine yana epukika, mengine ni ya kudumu, n.k..lakini kama nia ingekuwa "kusaidia" ingekuwa ujisikiapo dalili unaenda Maabara kupima tu na kununua dawa.
ok,hilo litakuwa ni tatizo la kurithi,na kwa maelezo hayo hata watoto wako watakuwa na hilo tatizo hapo baadaye,tatizo hilo huwapata watu waaminifu na wamchao Mungu!nitakupatia tiba kwa njia ya maombi.!Mkuu Zamaulid tatizo langu ninalo siku nyingi nikimpenda mwanamke huwa ninamuonyesha kwa vitendo na
yeye huyo mwanamke huwa hanionyeshi kuwa ananipenda. niliwahi kumuuliza mke wangu siku moja tupo kitandani.Nilimwambia
Mke wangu ninakupenda lakini wewe kwanini hunipendi? Alinijibu hivi na mimi pia ninakupenda lakini sikuonyeshi kama ninakupenda
utapata kichwa. Haa nilishangaa sana, katika ukoo wetu Marehemu Mama yangu alikuwa anampenda Marehemu Dingi wangu huku
akimuonyesha mapenzi lakini dingi wangu hakuwa anamuonyesha mapenzi mama yangu ingawa Dingii wangu alikuwa anampenda
Mama yangu. Sasa itakuwa mimi nimerithi kwa marehemu Mama yangu mkuu?
Kwa kweli mimi huwa nakasirika sana, na akijifanya mbishi namwandikia dawa kadri alivyosema na mwacha. Coz kusema hivi unamislead at the end of the day visit kibao kumbe tatizo ni jingine
Mkuu Adharusi Njia nzuri ya uzazi ni kukwepa siku zile za hatari ya kupata mimba. Angalia chini hapa chaguwa unayoitaka mojawapo.Mzizimkavu,eti njia bora ya uzazi wa mpango ni hipi naombba ufafanuzi na athari zaki,kondom isiweke hapo
Mkuu Zamaulid tatizo langu ninalo siku nyingi nikimpenda mwanamke huwa ninamuonyesha kwa vitendo na