Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Usianzishe mahusiano na wanaume hawa utapata tabby!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kuna baadhi ya kazi wanazofanya wanaume zinawapelekea kuharibika kisaikolojia hasa mambo ya mapenzi wanakuwa kama machizi.

1.ASKARI MAGEREZA NA FD4CE
-Matapeli Wa mapenzi
-Waongoo
-Wabahili
-Wana madeni balaa
-Wanapenda kuikopa serikali balaa
-Wanapenda maisha mazuri alafu mshahara wenyewe kiduchu
-Hawakubali kusema wanaishi kota wanachagua maeneo ya matajiri mfano Hapa Dodoma anakaa Isanga atakwambia anakaa uzunguni[emoji57][emoji57][emoji57]

2.WALIMU WA KIUME
-Wana ahadi za uongo
-Wabahili kama nini?
-Wana ndoto za maishaa mazuri hawatimizi ndoto zaoo mxewww
-Wanapenda sifaa

3.WANAUME WENYE UPARA NA MACHO MAKUBWA
-Ukitaka kufanya diet bila shida na kupungua uzito wewe mwanamke date na hizi kunguni kooooh utakonda na kupungua kula
-wanapenda kuhongwaa hawa [emoji57][emoji57][emoji57]
-Wanaringaaa mxewww zaoo
-Wengi viben10
-Wanapenda kufanya kazi Bank


Mama kalumanzila.
 
Ha ha ha ha ha namba tatu sijaelewa,kwahiyo na mheshimiwa mkubwa kabisa wa nchi hii yuko humo au vipi
hahahaaa huu utafiti wake ni wa TWAWEZA mkuu ... hauoni kuwa ijapo kuwa yule jamaa anakipara lakini ni mwepesi wa kuhonga " kama bao la kwanza linnavyokuwa jepesi kupatikana ....
 
pia sisi wanaume tusianzishe mahusiano na mtoa mada mana ni mke wa matunguli. ila dawa ya mtoa mada ili uweze kumgegeda ni kumwagia papuchu yake chumvi ili matunguli yasifanye kazi.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Umenikumbusha kipindi hicho chuo kuna dada alikuwa hapendi wanaume wanaosomea ualimu na anaongea maneno mengi ya kashfa kuwahusu..bahati mbaya ama nzuri alikuja pewa mimba na jamaa anayesomea ualimu
 
Back
Top Bottom