Usibeti Simba inafungwa, utaichukia bure...

Usibeti Simba inafungwa, utaichukia bure...

Nini kimetokea mbona uwezo wako wa kufikiri umepolomoka kwa kasi ya 5G
1704445594841.png

Unatumia Nokia 3310 mawimbi ya 5G utayapataje...?

Uwe nazo kwani wewe ni baba yake Haji au wewe ni Jakaya...?? 😛 😛 😛
 
Huku wote ni wakuu hata mwanao ni mkuu
Hana ubavu wa kuwa na umri wa Mzee wangu...

Mimi mwenyewe babu halafu yeye awe baba yangu...!!

Ndiyo maana nimemuuliza ni tusi ama ni maelezo??

Kama ni tusi sina neno lakini kama ni maelezo hana umri wa kuwa baba yangu.
 
Rafiki yake na Baba yako ni ni nani yako?
 
Muhimu tu baada ya wiki 2 kuanzia sasa tusizisikie tena zile kelele zenu za kuwakataa wachezaji fulani, kocha na mwenyekiti wenu Mangungu.
 
Baada ya sare na KMC, Mapinduzi yamekuja kuwafuta watu machozi.
Hawa jamaa wanasahau kitu ndani ya dakika tu!! Ni juzi tu hapa walianza tena kulalamika baada ya kulazimishwa sare na KMC. 😁
 
Back
Top Bottom