Usibishe, hiki kitu kipo

Usibishe, hiki kitu kipo

hahah.. hii iko poa sana. dem mwingine anakuzungusha sio kwamba hajakupenda ila anajijua ni kimeo na huyo bf wake kashazoea huo ukimeo wake ndo mana inakua ngum kwa dem kumwacha jamaa hta km anamtreat vibaya, madem dizain hii vinateseka sana kwenye mahusiano coz jamaa anakua anamburuza anavyotaka, si keshamjua [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jamaa umenielewa sanaaa
 
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,yaani SURA
KALI....SHEPU HILOOO...MIGUU YA UKWELI..AMESOMA
VIZURI..Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU
jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko
sawa...HUWEZIPEWA VYOTE wanasema
Wahenga...Wengine Wazuri kinomaa kama amejiumba lakini INJINI rejeta inavuja,Ukipiga
utadhani Unafua Maturubai...Mtera Si Mtera Ruvu Chini
Si Ruvu..Balaa! Mwingine mzuri mpaka basi ila ana
KIFAFA...Katikati ya mechi demu anazima unaanza
kumpepea na The Guardian...
Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae Room Maruhani yanapanda anakupiga LOBA mpaka unahisi
umeshikwa na Baunsa wa Billz Usione demu mkali
anakuzungusha ukadhani hataki KULIWA...Wana siri
nzito wanajua wakikupa ukajua UTAWATANGAZA...
Anakuzungusha kulinda CV isishuke...
Dah, kama ulikuwepo jana mkuu, yalonitokea jana kwa mrembo flani kama ulikuwepo vile, room kalipa mwenyewe kafika huko katulia kana kwamba anafanya tahajudi ... we hacha tu!
 
Dah, kama ulikuwepo jana mkuu, yalonitokea jana kwa mrembo flani kama ulikuwepo vile, room kalipa mwenyewe kafika huko katulia kana kwamba anafanya tahajudi ... we hacha tu!
Duh, ikawaje tena? Ulimstunyua? Au hukufanikiwa kustunyua?
 
Mkuu itabid nikufollow... Ulichoonge ni kweli... Kuna she mmoja niliwahi kujiweka ni mkali shepu matata ila akifunua mzigo untoa harufu ya kufa mmasai alaf eti akawa anakaza nizame uvinza, nina kichaa hicho kwani?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Harufu mtindo mmoja alafu anakwambia uzame wapi??
 
Mdada unakuta mrembooo maringo kibaao eneo la tukio ni tatizo, mdomo, kwapa ndo harufu hatari deodorant inadunda, ukikutana na masela wanakupa stori kilichojiri kumbe majanga, kuna jamaa anafurahishaga huwa anapaita down stairs eneo la tukio...daah watu wana vituko sana jamani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdada unakuta mrembooo maringo kibaao eneo la tukio ni tatizo, mdomo, kwapa ndo harufu hatari deodorant inadunda, ukikutana na masela wanakupa stori kilichojiri kumbe majanga, kuna jamaa anafurahishaga huwa anapaita down stairs eneo la tukio...daah watu wana vituko sana jamani.
Hahaa.... Unavituko sana
 
Back
Top Bottom