Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

Umeongea Sana Ila sketi za kiume zipo, zinaitwa Scottish kilts
 
Natambua ,lkn unadhani kwann suruali za kike zinatumika dunia nzima lkn hizo sketi za kiume za highland hazitumiki nje ya hapo???
Mkuu inaonesha wewe sio mtembeaji Sana;
Nenda lukwa sehemu inaitwa maji Moto utawakuta wasukuma wengi Tu wanavaa sketi za kike tena na ma wigi kichwani;
 
Mkuu inaonesha wewe sio mtembeaji Sana;
Nenda lukwa sehemu inaitwa maji Moto utawakuta wasukuma wengi Tu wanavaa sketi za kike tena na ma wigi kichwani;
🤣🤣🤣🤣🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…