Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

Mkuu inaonesha wewe sio mtembeaji Sana;
Nenda lukwa sehemu inaitwa maji Moto utawakuta wasukuma wengi Tu wanavaa sketi za kike tena na ma wigi kichwani;
Hahahaha Mimi ni msukuma pia wa mwanza . Lkn sijaona msukuma huku akivaa sketi.. natambua pia hata highland Kuna wanaume wanavaa sketi . Natambua pia wamasai wanavaa mashuka . Lkn siyo vazi rasmi la dunia nzima .

Hapa nazungumzia urasmi wa mavazi kidunia ambapo ukilipeleka Hilo vazi Hakuna atakayestuka Wala kushangaa.
 
Anazungumzia community or society flani wakati wewe upo world wide umeeleweka mkuu
 
Hii ni summary ya nyimbo Moja ya John Lennon inayoitwa nobody told me.... Hii ngoma imeelezea haya yote ....big up mleta mada
 
"Wengi wanapenda ngono lakini kuzaa hawataki"machoni kama watu by binti komando
 
Back
Top Bottom