Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

Mkuu nimependa andiko hili.
Hakika wewe ndo wale great thinker ambao mnavuta watu kujiunga na jf
 
Hahahaha Mimi ni msukuma pia wa mwanza . Lkn sijaona msukuma huku akivaa sketi.. natambua pia hata highland Kuna wanaume wanavaa sketi . Natambua pia wamasai wanavaa mashuka . Lkn siyo vazi rasmi la dunia nzima .

Hapa nazungumzia urasmi wa mavazi kidunia ambapo ukilipeleka Hilo vazi Hakuna atakayestuka Wala kushangaa.
Aisee kweli wewe hutembei. Wasukuma wanavaa sketi na wanavaa rain boat kama vile wewe unavyovaa ndala. Na sketi ni vazi rasmi Scotland wanavaa hadi wanaume. Ingawa haipendezi mwanaume kuvaa sketi kulingana na sheria ya kimaumbile lakini watu wanavaa.
 
Nafahamu Hilo Ndugu . Lkn siyo vazi rasmi la kidunia . Hiyo inabaki kuwa Ni tamaduni ya kajamii fulani tu .. hata wamasai wanavaa mashuka na ndiyo maana wanaonekana km vivutio vya utalii. Siyo Jambo la kawaida kidunia ..
 
Bora mlevi anaemkumbuka muumba wake akiwa bar kuliko muumini anamsahau muumba wake akiwa sinagogini
 
Mkuu ulipost somo la wafu,? Nasubiria sana na nilikuomba unitag ulipost.
Jana nilipost somo la shetani "pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Haumfahamu vizuri na Unasema ni Adui Yako"...

La wafu nitalipost kesho
 
Hv ilikuwaje tukajikuta tu wanaume tunapendelea sana suruali na si magauni na sketi na wanawake hivyo hivyo
 
Aisee..
Kwamba Mtoto wa mpishi hodari asiyejua kupika ana maana kubwa sana kwa mtoto wa mkulima hodari asiyejua kulima kwenye ardhi ya wavuvi hodari...!
 
Back
Top Bottom