Usicheze na simu ya mtu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]

Usicheze na simu ya mtu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mimi ktk ufufuo huu sijashangazwa na maiti kufufuka wala kutowekewa pamba puani, masikioni na mdomoni..

Kilichonishangaza ni tabia zetu WANAUME kung'ang'ania simu hadi ukifa hutaki mkeo aone nini labda!?

Maiti wetu ameletwa toka mochwari jeneza limefunguliwa, maiti imeacha mdomo wazi kama mamba naamini ni ili aweze kuhema bila kutoa sauti au kutingishika, anahema na koo tu.. Naijua hiyo mbinu, halafu imetoa ulimi nje. Yote Tisa, #kumi maiti imekutwa na simu mfukoni....ndo nikajua kuwa Kumbe ni kweli mwanaume hawezi acha simu yake ikutwe hovyo hata akifa anakufa nayo???

Labda awe ameitoa Laini kwanza kuimeza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
FB_IMG_1551182591136.jpeg
FB_IMG_1551182584588.jpeg
FB_IMG_1551182578262.jpeg
FB_IMG_1551182572376.jpeg
FB_IMG_1551182568282.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Wataumbuka sana na uongo wao!

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Maiti wapo wengi sana kwenye hospitali kubwa, kama kweli wao wana uwezo wa kufufua kwanini wasiende huko?! Maana maiti utakuta zimejaa mortuary

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Na wale wenye kuponya vilema, viwete nao si waende hata pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) wagonjwa wapo wengi.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Hii inaitwa wajinga ndio waliwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nakuwekea video ya maiti anayepiga miayo na kupumulia mdomoView attachment 1032606

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wajinga ndio waliowao, basi hapo kuna mijitu inakubali tu kuwa kweli kafufuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Mimi ktk ufufuo huu sijashangazwa na maiti kufufuka wala kutowekewa pamba puani, masikioni na mdomoni..

Kilichonishangaza ni tabia zetu WANAUME kung'ang'ania simu hadi ukifa hutaki mkeo aone nini labda!?

Maiti wetu ameletwa toka mochwari jeneza limefunguliwa, maiti imeacha mdomo wazi kama mamba naamini ni ili aweze kuhema bila kutoa sauti au kutingishika, anahema na koo tu.. Naijua hiyo mbinu, halafu imetoa ulimi nje. Yote Tisa, #kumi maiti imekutwa na simu mfukoni....ndo nikajua kuwa Kumbe ni kweli mwanaume hawezi acha simu yake ikutwe hovyo hata akifa anakufa nayo???

Labda awe ameitoa Laini kwanza kuimeza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1032573View attachment 1032574View attachment 1032575View attachment 1032576View attachment 1032577

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachungaji hawaishiwi mapicha picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom