EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mimi ktk ufufuo huu sijashangazwa na maiti kufufuka wala kutowekewa pamba puani, masikioni na mdomoni..
Kilichonishangaza ni tabia zetu WANAUME kung'ang'ania simu hadi ukifa hutaki mkeo aone nini labda!?
Maiti wetu ameletwa toka mochwari jeneza limefunguliwa, maiti imeacha mdomo wazi kama mamba naamini ni ili aweze kuhema bila kutoa sauti au kutingishika, anahema na koo tu.. Naijua hiyo mbinu, halafu imetoa ulimi nje. Yote Tisa, #kumi maiti imekutwa na simu mfukoni....ndo nikajua kuwa Kumbe ni kweli mwanaume hawezi acha simu yake ikutwe hovyo hata akifa anakufa nayo???
Labda awe ameitoa Laini kwanza kuimeza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app