Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kinafufuliwa upya. Ukiangalia kwa makini hata kojoleo litakuwa lilisimama...Hivi mtu akifariki si kila kitu kinakufa haswa matumbo ya ndani,nashangaa amewezaje kupewa chakula na kula,aisee kuna namna[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😀😀😀Kila kitu kinafufuliwa upya. Ukiangalia kwa makini hata kojoleo litakuwa lilisimama...
Hawawezi mkuu.huo uwezo wa kufufua n.k alipewa issa mtoto wa maryamNa wale wenye kuponya vilema, viwete nao si waende hata pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) wagonjwa wapo wengi.
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓