Usichoambiwa Kuhusu Dubai na Watumwa Wanaojipeleka “Kufanya Kazi” Huko: Waarabu Wanajua Kutesa Watu!

dah umenikumbusha mbali sana, kuna pisi moja ya kikenya nilinyang'anywa tonge mdomoni na muhuni wakinigeria nililia sana, Big booty kama cherokee D'ass kabisa. mitaa ya Nahda
Wanigeria wanasifika kwa matanuzi,mnaija hata kama hana kitu wakina dada wa kikenya na filipino wao wanaamini huyu ana pesa za deal au muda wowote anawaka pesa mifukoni. Wengine mpaka wanagombana kisa wanaija
 
Jamaa wanakamata pisi zote za East Africa kilaini sana, Jamaa ni matapeli tu. hata pisi za kiarabu wanazilia waLebanon, watunisia. Inauma sana
 
Back
Top Bottom