na wewe pia ni mweupe?Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa
Nani kakuambia huyo ni Me?Kwahiyo unafuatilia choice ya mwanaume mwenzio?
Wewe nani kakwambia kua huyo ni Ke?Nani kakuambia huyo ni Me?
Nani kakuambia huyo ni Me?
Wema mwenyewe mkorogo umehusikaWema ndio mweupe hao wengine karibia wote ni weusi ila siku iz mikologoro inachangia mweupe kuongezeka
Vitabu vya Ginez ndo vitabu gani boss?Hii tafiti iliyovunja rikodi zaidi nchini Tzania, ipelekwe kwenye vitabu Ginez
wema weupe kautoa wapi mkuu"...!!? tafuta picture zake za mwaka 2006s..Wema ndio mweupe hao wengine karibia wote ni weusi ila siku iz mikologoro inachangia mweupe kuongezeka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unaweza kukuta mleta mada ni mtu na ndevu zake na pia ana familia inayo mtegemea!