Usichofahamu kuhusu diamond Platnum

Usichofahamu kuhusu diamond Platnum

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa
 
na wewe pia ni mweupe?
 
Back
Top Bottom