Usichofahamu kuhusu diamond Platnum

Usichofahamu kuhusu diamond Platnum

Sasa mbona hata ww hufahamu. Na je huyo dimondi ili kumfahamu kigezo Ni kuangalia maisha ya mapenzi tu na wanawake zake? Hata ivo sio lazima ewote tumfahamu
 
Sio diamond2 angalia wanaume wa bongo weusi wakipata pesa ukubwani kama hajaoa wengi wao hukimbilia kuoa wanawake weupe!! Ule utofauti ndio wanaokimbilia
 
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa
Mobeto kwani mweupe?
 
wewe na hawa wa Nitalejea nimweupe au macho yanguu?
 
Samahan
We mwenyewe n mwanamke au mwanaume???
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa
 
Hiyo ni choice ya kila mwanaume mwenye hela we boya
 
Anapenda Mikorogo ila papuchii huwa haipakwi mkorogo inabaki nyeusi vilevile
 
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa
Katika hao mweupe ni Lynn na zari wengine DEKIO tu.
 
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa
Ondoa uwoya huyo...
 
Back
Top Bottom