Usichojua kuhusu biashara ya duka la rejareja la chakula

Usichojua kuhusu biashara ya duka la rejareja la chakula

wakubeti

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
562
Reaction score
856
People lie, numbers don't

faida: ndio sababu watu wanafanya biashara na ndio kitu pekee wengi wameshindwa kukielewa vizur au kukiongelea kwenye biashara hio ya duka. Approximately pato la faida/gross profit ya biashara hio ya duka inakua less ya 20% yamauzo yote ya siku au ya mwezi hio ni tofauti kabisa na faida halisi/net profit ya biashara hio.

All fast moving consumable goods kama sukari ngano sembe mafuta vinywaji na n.k bei zake zimesetiwa kumpa muuzaji wa mwisho/retailer faida isiozidi 20% kwa kila bidhaa nakuna bodi maalum zinazo control izo bei. Mfano sembe kg 25= 20,000 ikiuzwa inakupa 25,000, mafuta ya 20ltr = 54,000 ikiuzwa inakupa 66,000 nabidhaa nyingine nyingi zinaenda kwa mwenendo huo.

Itakuhitaji ufanye mauzo yasiopungua 3,200,000 kwa mwezi au mauzo yanayozid 100,000 kwa siku ilikukupa faida ya 500,000 per month.

20% ya hio 3,200,000(mauzo yote) ni 620,000 pato la faida/gross profit. Tofaut itakayopatikana kati ya gross profit/pato la faida na garama za uendeshaji ie kodi ya fremu, garama za usafirishaji wakufiksha bidhaa dukani, bill ya umeme au ulinzi ndio tunapata faida halis/net profit. hivyo kimakadirio apo tunaweza sema 120,000 itakua nigarama ya uendeshaji nd when you do the math inakupa 300,000 ambayo ndoitakua faida halisi/net profit

Kama utaifanya hio biashara huku ukicheza vizuri na hesabu/namba hasara au faida haitakuja kibahati wala hakuna kitakachokuja kwa kushtukiza, pia unaweza kutumia hesabu za mauzo yamaduka mengine kubla kufungua lakwako na ikakupa majibu kama nifinacial wise kwa wewe kuinvest huko

N.B.
Kufikisha mauzo ya zaidi ya 100,000 kwa siku isn't a child's play, unaweza kuwauliza wenye maduka wakupe muhtasari
 
biashara sio kwa kila mtu wengine wacha tuendelee kuwatumikia wahindi dukan kwao ila wakizubaa kidogo tayari
 
Barikiwa ila nisaidie jambo unafikiri mauzo yakiwa pungufu ya mchanganuo huo iliotaja biashara hii italipa?
Yakiwa pungufu manake faida inakua ni ndogo. Hio sio biashara rahis
 
Back
Top Bottom