waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
limetumbuka
Kaka ulichoandika kwa kichwa cha mada ni tofauti sana.cheki hapa........unadharau na kupuuza.
Lakini kuna kitu ambacho nafikiri Watz wengi hawakijui kuhusu Katiba Mpya ya Kenya, ambapo kwa maoni yangu nafikiri ni usanii mtupu, kwa mfano Cheo cha Mkuu wa Wilaya hakijafutwa kama ilivyo hapa kwetu na bado anateuliwa na Raisi wa Nchi.
Yaani kwa maana nyingine hawa Magavana wao wa County hawana madaraka yoyote kwa maana kuna Mkuu wa Wilaya ambaye ndiye muwakilishi wa raisi kwenye hiyo county, na ndie ana mamlaka na Dola hapo kwenye county na siyo Gavana wa county, sasa ndiyo wamefanya nini? Si ni kama Bongo tu?
katiba ya kenya na tz tofauti ni kama ardhi na bingu. umeambiwa mara kwa mara kenya ndani ya katiba hakuna mkuu wa wilaya. pili kenya hakuna ngazi ya wilaya ni sub county na wards. kile serikali imefanya ni kuteua county and su county commissiners ambao hakuna kwa katiba kwa hivyo they are illegal. na hawana powers zaidi ya kuwa vijana wa mikono wa rais. kutumwa hapa na pale.kwa sababu every ofisi ya katiba imekuja powers and responsibilities. kwa mfano the gover kwa katiba ni...

| 6. | Powers of county governments
|
Last edited by a moderator: