Usichokijua kuhusu Pacquiao

Usichokijua kuhusu Pacquiao

Jamaa anatisha
Ana uwezo wa kurusha ngumi 66 katika raundi moja
Huku mpinzani wake "money" akiwa na uwezo wa kurusha ngumi 39 kwa raundi moja
 
Ndugu yangu Dolla million 100 kwa ajili ya washabiki wake 900, ni ngumu kumeza au ulimanisha nini????????????????

Hata kam ticket iwe ya first class kwa zaidi ya dollar 10,000 kila moja, haiwezi kufika dollar milioni 100 kwa watu 900.
 
Back
Top Bottom