Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Fahamu kwamba video queen wa wimbo wa kwanza wa Diamond platnumz alikuwa dada yake Esma Platnumz,kwa nini Esma? ni kwamba wadada ambao aliwaalika Diamond kufanya hiyo scene hawakutokea kutokana na dharau kwa kuwa jamaa hakuwa staa na lile jisura lake lilivyokuaga baya kipindi kile wakaona dooh....ndipo Dada mtu akaombwa kucheza hiyo part na akaimudu sana (halafu Esma alikuaga mzuri kishenzi)...naamini hao wadada waliomtosa D leo hii wanatamani hata kushikana nae mkono tu,Maisha safari ndefu sana tusidharauliane.
Najua ulikuwa hujui ila mimi nakujuza kidogo tu..
Angalia hii kuanzia dakika ya 3:10
Najua ulikuwa hujui ila mimi nakujuza kidogo tu..
Angalia hii kuanzia dakika ya 3:10