Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #21
Ina maana hujaelewa au makusudi tu?Ungeweka Link ya huo wimbo ndio tuone hiyo dkk ya 3:10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana hujaelewa au makusudi tu?Ungeweka Link ya huo wimbo ndio tuone hiyo dkk ya 3:10
We boya kweli,angalia hiyo clip niloweka hapo juu angalia kuanzia dakika ya 3:10 watu wengine bana sijui mmezalia kipindi cha njaa? ubishi ubishi wa kilofa tu.si kweli, hapa umetuingiza chaka yule dada sio esma...nakumbuka mondi alishawahi kutoa hiyo stori na akasema anatamani yule video qn aje aonane nae siku moja maana yeye (v..vixen) hakujali uchanga wake na alikubali kucheza kwny video yke....sidhani km angekuwa ni esma angesema hivyo maana mondi alisema yyte anayejua sehemu ambapo huyo dada yupo basi amwambie...maneno hayo diamond aliandika kweny instagram si zaidi ya miaka 2 iliyopita.
Half angekuwa esma yule c tungekoma, daily angekuwa anajipost huko insta na caption za kujisifu....hlf kipind kamwbie inatoka kaesma kalikuwa kadogo dogo hivi hlf kembamba sn kuliko huyo dada wa kwemy video ambaye anaonekana kajazia kiaina.
Haha. Unaupenda wimbo wa Diamond ukimuona ila domo ndo atoe videoNapenda wimbo wa diamond "UKIMUONA" . Domo please toa video..
Domo ni jina lake pia.Haha. Unaupenda wimbo wa Diamond ukimuona ila domo ndo atoe video
Sikuizi haitwi domo jina lake ni Lips DendaaDomo ni jina lake pia.
Teh...kumbe domo ilikuwa enzi zile bado kafulia. Ila lips denda hata mie huwa nazitamaniSikuizi haitwi domo jina lake ni Lips Dendaa
Hata mimi ninazo za ivooTeh...kumbe domo ilikuwa enzi zile bado kafulia. Ila lips denda hata mie huwa nazitamani
Aku..nataka za mondi sukari ya waremboHata mimi ninazo za ivoo
Mi ninazo nyingi tu lipsi kama za D njoo home uzichukue...Teh...kumbe domo ilikuwa enzi zile bado kafulia. Ila lips denda hata mie huwa nazitamani
Probably ndio wimbo wake bora wa muda wote...Napenda wimbo wa diamond "UKIMUONA" . Domo please toa video..
Bonge ya wimbo. HauchujiProbably ndio wimbo wake bora wa muda wote...
Hata cover yake aloiimba Bella imetulia.
MwehMi ninazo nyingi tu lipsi kama za D njoo home uzichukue...
Hakika ni timeless...Bonge ya wimbo. Hauchuji
hiyo clip nimeiangalia ila umejaribu kuitafakari au umekuwa nyumbu tu? esma kwanza alipoulizwa hilo swali na mtangazaji alipause kdg kuonesha mshangao ila kwa kuwa wanapenda kiki akajidai kama kukubali flani hivi...but alipoulizwa kacheza scene gani hajajibu kaishia kuzuga zuga tu mbona hakusema kama yule dada ndo nilikuwa mimi? lbd iwe huyo esma ndo alimtafutia diamond yule dada, but yule siye esma...kwnz ukicheki midomo ya yule vixen ni tofaut na ya esma na hata mapaji yao ya uso ni tofauti kbs...kiufupi hili ni changa la macho.We boya kweli,angalia hiyo clip niloweka hapo juu angalia kuanzia dakika ya 3:10 watu wengine bana sijui mmezalia kipindi cha njaa? ubishi ubishi wa kilofa tu.
Same here.... hua haikosi kwenye play list yangu.Napenda wimbo wa diamond "UKIMUONA" . Domo please toa video..
Ubishi wa kise.nge huu hata kufananisha sura hujui? let me leave wit yo envy mind...hiyo clip nimeiangalia ila umejaribu kuitafakari au umekuwa nyumbu tu? esma kwanza alipoulizwa hilo swali na mtangazaji alipause kdg kuonesha mshangao ila kwa kuwa wanapenda kiki akajidai kama kukubali flani hivi...but alipoulizwa kacheza scene gani hajajibu kaishia kuzuga zuga tu mbona hakusema kama yule dada ndo nilikuwa mimi? lbd iwe huyo esma ndo alimtafutia diamond yule dada, but yule siye esma...kwnz ukicheki midomo ya yule vixen ni tofaut na ya esma na hata mapaji yao ya uso ni tofauti kbs...kiufupi hili ni changa la macho.
Kaangalie interview aliyofanya esma wakati wa uzinduzi wa number 1 og umuone jinsi alivyo hlf mlinganishe na yule vixen utaona tofauti, tn wakat number 1 og inatoka mondi ashakuwa na mafanikio tyr na kina esma washaanza kunufaika na matunda ya mond bt still alikuwa mti mkavu tofauti na yule vixen..kumbuka hapo ilikuwa ni 2014 na kamwambie imetoka 2009.
Za kuambiwa changanya na zako sheikh.