Usichokijua kuhusu wimbo wa kwanza wa Diamond "Nenda Kamwambie"

si kweli, hapa umetuingiza chaka yule dada sio esma...nakumbuka mondi alishawahi kutoa hiyo stori na akasema anatamani yule video qn aje aonane nae siku moja maana yeye (v..vixen) hakujali uchanga wake na alikubali kucheza kwny video yke....sidhani km angekuwa ni esma angesema hivyo maana mondi alisema yyte anayejua sehemu ambapo huyo dada yupo basi amwambie...maneno hayo diamond aliandika kweny instagram si zaidi ya miaka 2 iliyopita.

Half angekuwa esma yule c tungekoma, daily angekuwa anajipost huko insta na caption za kujisifu....hlf kipind kamwbie inatoka kaesma kalikuwa kadogo dogo hivi hlf kembamba sn kuliko huyo dada wa kwemy video ambaye anaonekana kajazia kiaina.
We boya kweli,angalia hiyo clip niloweka hapo juu angalia kuanzia dakika ya 3:10 watu wengine bana sijui mmezalia kipindi cha njaa? ubishi ubishi wa kilofa tu.
 
Napenda wimbo wa diamond "UKIMUONA" . Domo please toa video..
 
Hio ni changamoto mojawapo ndogo sana. KKunazo nyingi kubwa zaidi ya hio
 
Yote kwa yote nawasifu walioona mbele na kuamua kushikana naye mfano hao madancer wake.

Nasikia mama aliweka rehani hati ya kiwanja pia.
 
We boya kweli,angalia hiyo clip niloweka hapo juu angalia kuanzia dakika ya 3:10 watu wengine bana sijui mmezalia kipindi cha njaa? ubishi ubishi wa kilofa tu.
hiyo clip nimeiangalia ila umejaribu kuitafakari au umekuwa nyumbu tu? esma kwanza alipoulizwa hilo swali na mtangazaji alipause kdg kuonesha mshangao ila kwa kuwa wanapenda kiki akajidai kama kukubali flani hivi...but alipoulizwa kacheza scene gani hajajibu kaishia kuzuga zuga tu mbona hakusema kama yule dada ndo nilikuwa mimi? lbd iwe huyo esma ndo alimtafutia diamond yule dada, but yule siye esma...kwnz ukicheki midomo ya yule vixen ni tofaut na ya esma na hata mapaji yao ya uso ni tofauti kbs...kiufupi hili ni changa la macho.

Kaangalie interview aliyofanya esma wakati wa uzinduzi wa number 1 og umuone jinsi alivyo hlf mlinganishe na yule vixen utaona tofauti, tn wakat number 1 og inatoka mondi ashakuwa na mafanikio tyr na kina esma washaanza kunufaika na matunda ya mond bt still alikuwa mti mkavu tofauti na yule vixen..kumbuka hapo ilikuwa ni 2014 na kamwambie imetoka 2009.

Za kuambiwa changanya na zako sheikh.
 
Napenda wimbo wa diamond "UKIMUONA" . Domo please toa video..
Same here.... hua haikosi kwenye play list yangu.
ule wimbo utaishi muda mrefu sababu alituliza kichwa chake hakuweka madoido mengi.
 
hiyo clip nimeiangalia ila umejaribu kuitafakari au umekuwa nyumbu tu? esma kwanza alipoulizwa hilo swali na mtangazaji alipause kdg kuonesha mshangao ila kwa kuwa wanapenda kiki akajidai kama kukubali flani hivi...but alipoulizwa kacheza scene gani hajajibu kaishia kuzuga zuga tu mbona hakusema kama yule dada ndo nilikuwa mimi? lbd iwe huyo esma ndo alimtafutia diamond yule dada, but yule siye esma...kwnz ukicheki midomo ya yule vixen ni tofaut na ya esma na hata mapaji yao ya uso ni tofauti kbs...kiufupi hili ni changa la macho.

Kaangalie interview aliyofanya esma wakati wa uzinduzi wa number 1 og umuone jinsi alivyo hlf mlinganishe na yule vixen utaona tofauti, tn wakat number 1 og inatoka mondi ashakuwa na mafanikio tyr na kina esma washaanza kunufaika na matunda ya mond bt still alikuwa mti mkavu tofauti na yule vixen..kumbuka hapo ilikuwa ni 2014 na kamwambie imetoka 2009.

Za kuambiwa changanya na zako sheikh.
Ubishi wa kise.nge huu hata kufananisha sura hujui? let me leave wit yo envy mind...
 
Back
Top Bottom