Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
very true dude...na ukishaelewa kanuni hiyo basi utaishi miaka mingi sana coz nafsi yko itakuwa imejitenga na chuki na visasi....From zero to hero. Namkubali brother mondii na naheshimu hustle zake. Ni mchawi pekee anayeweza mchukia mondii hustle zake japo anamapungufu yake kama Binaadamu..
atakua baba ake alikua na usomali somaliEsma mzuri kishenzi sijui kafata kwa nani?
Mimi nakumbuka siku ya kwanza nilimuona anahojiwa Planet Bongo na wimbo wake ukachezwa, mi binafsi sikuupenda kabisa, ila kuna jamaa yangu chuo alikuwa anaupenda balaa, aliuweka kwenye laptop akawa anatusumbua room kila akiwepo lazima auweke, ilikuwa kero. Sikuwaza kama anaweza kuwa mkubwa, wakati huo nilikuwa namkubali sana Belle9 huyo Diamond niliona ni msanii wa kupita, the rest is history...Siku ya kwanza tu nilipo iona video ya NENDA KAMWAMBIE kupitia Star tv (bonga kama sikosei) nakumbuka nilimwambia mke wangu 'huyu kijana anajua kuimba na atafika mbali'.
Bora wawe haters kuliko kukushobokeaBinadamu ndio walivyo, in the beginning wanakudharau, ukitoboa wanakuwa haters. Wote tunapitia humohumo.
Naskia mzee wake mpembaatakua baba ake alikua na usomali somali
Huyu demu kweli bana ni shombeshombe flan hivi halafu mzuri sana mi napenda kidevu chake na jinsi anavyocheka...hapo bado sijasema anavyoongea...ila kapata bwana Kolo sana petit Man cha wa Sepetu...atakua baba ake alikua na usomali somali
Mkuu mimi nilikuwa na jamaa yangu nakumbuka ilikuwa mwaka 2008, nilipoiona tu hiyo video nikamwambia jamaa yangu huyu dogo atatisha sana huko mbeleni.Siku ya kwanza tu nilipo iona video ya NENDA KAMWAMBIE kupitia Star tv (bonga kama sikosei) nakumbuka nilimwambia mke wangu 'huyu kijana anajua kuimba na atafika mbali'.
Ulisha wahi kumuona dingi wake?Esma mzuri kishenzi sijui kafata kwa nani?