Usichokijua kwenye Johnson's baby powder

safi kabisaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Na vipi kwenye kuongeza muonekano mzuri kwenye dressing table....??
Ukikuta imesimama chupa perfume,chupa ya powder nk panakuwa na vitu vingi panachangamsha ata shemeji yako mzuri yeye Akitembelea huwa ndio ananaitumia kujipaka.
 
Imagine tunapakaa watoto sasa jamani?!
 
Siyo kwamba ililalamikiwatu ilipelekwa mahakamani na kampuni ikalipa mamilioni ya dollar kwa wahanga
 
Imagine tunapakaa watoto sasa jamani?!
Iyo ina maana baada ya miaka 20 ijayo Africa itakuwa na wagonjwa wa kansa ya kizazi tena kwa vijana wadogo kabisa hawataweza kuzaliana
 
ndio poda nayompaka mtoto wangu tena kipindi cha joto tu sababu anakua na rashez na inatoa rashez anakua vizur tu kama inaua sisimizi sitaitumia tena nimeogopa hii habari
badilisha matumizi
 
Mwanamme ukishakuwa na kitambulisho cha NIDA hauhitaji kioo. Ukishajiandaa unakishika unakiangalia unasepa haihitaji kioo
 
Kitu chochote kinaweza kutumika kama sumu inategemea tu kimetumikaje na kwa kiasi gani. Hivi una habari konokono asiye na gamba ukimwekea chumvi anayeyuka kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pia nimeijua juzi tu, nilikuwa nikirudi night nakuta konokono wash room yaani wametapakaa kwenye tiles chini na za ukutani pia.

Nilipoenda dukani kuulizia dawa nikaambiwa nunua tu chumvi kamwagie kwenye sink la choo na wale wengine wamwagie pia, duh wanayeyuka na sijawaona tena. Choo kikiwa kinatumika frequently huwaoni sabab mkojo unawateketeza pia.
 
Mkuu hiyo tabia nilianza toka zamani sana.[emoji23] [emoji23] mimi napakaga dushe tu. Ama siku nimenyoa mzuzu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…