Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tabia niliiga kwa demu wangu, yeye huwa anapakaga papuchi yake powder.... Sema hapa nimesikia fununu kwamba inasababisha kansa naacha mara moja....Mkuu unapaka dushe tu,kwanini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sananimeipuliza na zimepita dk 20 $ijaona mende tena
Wamenisumbua sana bafuni kwangu hawa kipindi cha masika,mbaya zaidi nilikuwa sijui wanatokea wapi,sasa nimepata dawa,waje tena msimu ujao wa mvua watakiona cha moto...Kitu chochote kinaweza kutumika kama sumu inategemea tu kimetumikaje na kwa kiasi gani. Hivi una habari konokono asiye na gamba ukimwekea chumvi anayeyuka kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby Powder ni Brand ya zamani sana,sisi wengine saa hizi tunazeeka tunaambiwa tulipakwa hiyo tulipokuwa wadogo na bado tunadunda,mpake tu mwanao usiwe na hofu...ndio poda nayompaka mtoto wangu tena kipindi cha joto tu sababu anakua na rashez na inatoa rashez anakua vizur tu kama inaua sisimizi sitaitumia tena nimeogopa hii habari
Mimi ni mteja mzuri wa product za johnson had sabuni natumia kumuogeshea nimeogopa sanaBaby Powder ni Brand ya zamani sana,sisi wengine saa hizi tunazeeka tunaambiwa tulipakwa hiyo tulipokuwa wadogo na bado tunadunda,mpake tu mwanao usiwe na hofu...
Hata hawa konokono wakawaida mkuu pia wana yeyuka kwa chumviKitu chochote kinaweza kutumika kama sumu inategemea tu kimetumikaje na kwa kiasi gani. Hivi una habari konokono asiye na gamba ukimwekea chumvi anayeyuka kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nakushauri tu uanze na kupaka usoni hiyo poda...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaliza au unaniambia?
Sijui kama zote zijazifanyia majalibio.
Sawa mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umekomaa na mimi, mi sijawai kutumia kwa ajili kupaka
ni powder zote zinaua Sisimizi
Itabidi nitafute bidhaa mbadalaSiyo kwamba ililalamikiwatu ilipelekwa mahakamani na kampuni ikalipa mamilioni ya dollar kwa wahanga
Ni hatari sanaImagine tunapakaa watoto sasa jamani?!
Kumbe, hao sijawahi kuwajaribuHata hawa konokono wakawaida mkuu pia wana yeyuka kwa chumvi
Karibu mkuuWamenisumbua sana bafuni kwangu hawa kipindi cha masika,mbaya zaidi nilikuwa sijui wanatokea wapi,sasa nimepata dawa,waje tena msimu ujao wa mvua watakiona cha moto...
Ni kwa vile ni fine powder, ivo ina block mfumo wa hewa.Nakiri kuwa mie Ni mteja wa hii bidhaa kwa zaidi ya miaka 10 Sasa lakini, Kitendo cha kuua wadudu hao Ni wazi hiyo powder ina sumu na haifai kwa matumizi ya mwili wa mwanadamu,, kuna wakati ililalamikiwa huko ulaya kuwa inasababisha kansa,(nikahisi Ni fitna za kibiashara), Sasa na kwa hili mkuu inawezekana ni kweli.
Pole mkuu, wadudu wanaboa sanaHii pia nimeijua juzi tu, nilikuwa nikirudi night nakuta konokono wash room yaani wametapakaa kwenye tiles chini na za ukutani pia.
Nilipoenda dukani kuulizia dawa nikaambiwa nunua tu chumvi kamwagie kwenye sink la choo na wale wengine wamwagie pia, duh wanayeyuka na sijawaona tena. Choo kikiwa kinatumika frequently huwaoni sabab mkojo unawateketeza pia.
Poda hii inasemekana ina asbestos kwa wingi na inasababisha kansa aina ya Mesothelioma pamoja na kansa mbaya sana kwa wanawake - Ovarian. Kule Marekani kuna kesi maelfu dhidi ya Johnson & Johnson kuhusu poda hii na mwaka huu wametangaza kuwa wameacha kuitengeneza rasmi. Kwa ujumla matumizi yake ya muda mrefu yaweza kuwa hatari kwa afya yako.Nina hahika asilimia 78%, hawajui hiki kitu, wakati ukiendelea kufurahia matumizi yaliyozoeleka ya powder chukua na hii usiiyache kuitumia.
Nilitembelewa na rafiki yangu alinicheka na kuniuliza "kwanini mwanaume nina powder chumbani kwangu kama mwanamke au kama nina mtoto",wanaume wengi hatutumii powder huo ni ukweli.
Johnson's baby powder ni nzuri kuwa nayo chumbani inamatumizi zaidi ya unayoifahamu, ni mzuri na ni salama kwa familia ya watoto watundu na wasumbufu wanaochezea kila wanachokiona.
Mimi ninaitumia kama sumu huulia wadudu wataambao mfano sisimizi, mende, utitiri nk hainiletei harufu mbaya chumbani na ni salama na kama pambo inaongeza mchanganyiko wa chupa zilizo simama juu dressing table.
Matumizi mwagia unga wa powder walipo wadudu,baada ya dk 5 watakimbia na wengine watakufa hapohapo wakati ukifurahia harufu nzuri wadudu wanaikimbia na ndani mnabaki safi kabisa.
Ni salama 100% kama dawa ya kuulia mende nk sio lazima kukaa na sumu kali za hatari ndani.
View attachment 1473781View attachment 1473782