Usichokijua kwenye Johnson's baby powder

Mkuu unapaka dushe tu,kwanini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tabia niliiga kwa demu wangu, yeye huwa anapakaga papuchi yake powder.... Sema hapa nimesikia fununu kwamba inasababisha kansa naacha mara moja....
 
Kitu chochote kinaweza kutumika kama sumu inategemea tu kimetumikaje na kwa kiasi gani. Hivi una habari konokono asiye na gamba ukimwekea chumvi anayeyuka kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenisumbua sana bafuni kwangu hawa kipindi cha masika,mbaya zaidi nilikuwa sijui wanatokea wapi,sasa nimepata dawa,waje tena msimu ujao wa mvua watakiona cha moto...
 
ndio poda nayompaka mtoto wangu tena kipindi cha joto tu sababu anakua na rashez na inatoa rashez anakua vizur tu kama inaua sisimizi sitaitumia tena nimeogopa hii habari
Baby Powder ni Brand ya zamani sana,sisi wengine saa hizi tunazeeka tunaambiwa tulipakwa hiyo tulipokuwa wadogo na bado tunadunda,mpake tu mwanao usiwe na hofu...
 
Hii tabia niliiga kwa demu wangu, yeye huwa anapakaga papuchi yake powder.... Sema hapa nimesikia fununu kwamba inasababisha kansa naacha mara moja....
😂😂😂😂😂😂 mkuu kuna vitu vya kuiga bana aiseee nimecheka 😂😂😂😂
 
Baby Powder ni Brand ya zamani sana,sisi wengine saa hizi tunazeeka tunaambiwa tulipakwa hiyo tulipokuwa wadogo na bado tunadunda,mpake tu mwanao usiwe na hofu...
Mimi ni mteja mzuri wa product za johnson had sabuni natumia kumuogeshea nimeogopa sana
 
Wamenisumbua sana bafuni kwangu hawa kipindi cha masika,mbaya zaidi nilikuwa sijui wanatokea wapi,sasa nimepata dawa,waje tena msimu ujao wa mvua watakiona cha moto...
Karibu mkuu
 
Ni kwa vile ni fine powder, ivo ina block mfumo wa hewa.
 
Pole mkuu, wadudu wanaboa sana
 
Poda hii inasemekana ina asbestos kwa wingi na inasababisha kansa aina ya Mesothelioma pamoja na kansa mbaya sana kwa wanawake - Ovarian. Kule Marekani kuna kesi maelfu dhidi ya Johnson & Johnson kuhusu poda hii na mwaka huu wametangaza kuwa wameacha kuitengeneza rasmi. Kwa ujumla matumizi yake ya muda mrefu yaweza kuwa hatari kwa afya yako.

Unaweza ku-google Johnson and Johson baby powder lawsuits na utaona moto unavyowaka.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…