Kumbe haifai kabisa,TBS wako wapi?Kwa msio fahamu tu, Hiyo poda ndio Poda pekee ilopigwa marufuku Marekani na Canada .
Kwa ufupi Poda hii ina Asbestos kiasi kwamba imekuja gundulika kua Ongezeko la Kansa kwa watoto nchini Marekan na Canada yalikua ni matokeo ya utumiaji wa poda hii.
TBS matango pori.. ???Kumbe haifai kabisa,TBS wako wapi?
[emoji3][emoji3]TBS matango pori.. ???
Chlorine ni dawa yaa kuuwa wadudu na pia hutumiwa na malaka za maji kutibu maji tunayokunywa na kutumia majumbani kwetu, yaani wewe acha kunywa na maji ya bomba kabisa.Nakiri kuwa mie Ni mteja wa hii bidhaa kwa zaidi ya miaka 10 Sasa lakini, Kitendo cha kuua wadudu hao Ni wazi hiyo powder ina sumu na haifai kwa matumizi ya mwili wa mwanadamu,, kuna wakati ililalamikiwa huko ulaya kuwa inasababisha kansa,(nikahisi Ni fitna za kibiashara), Sasa na kwa hili mkuu inawezekana ni kweli.
Umekurupuka sana na Hilo hitimisho lakoChlorine ni dawa yaa kuuwa wadudu na pia hutumiwa na malaka za maji kutibu maji tunayokunywa na kutumia majumbani kwetu, yaani wewe acha kunywa na maji ya bomba kabisa.
Umekurupuka weweUmekurupuka sana na Hilo hitimisho lako
unaliza au unaniambia?
Sijui kama zote zijazifanyia majalibio.