Mimi hua na advocate mambo kadhaa kuhusu maiaha ya mwanaume, ikiwemo
mwanaume kuwa mzuri sio tatizo, and it is religiously accepted, mwanaume kunukia hakuna shida, mwanaume kukumbatiwa na mke wako wakati wa kulala sio shida, kufanyiwa masaji na mambo kibao.
Mwanzoni nilipata mtu wa kuniunga mkono, hadi thread alinifungulia, jamaa anaitwa
Balqior,
Sasa baada ya watu kuniandama sana kwa tuhuma za kua mimi ni shoga, siku nikakuta reply jamaa nae kaungana nao, ananikataa.
Japo sio big deal, sema nimenifunza, maneno ya fitna za watu ni mbaya sana na usichukulie poa, binadamu wanaweza kukuchafua kwa jambo ambalo hawana ushahidi.
Wadau, acheni fitna, ni mbaya sana, sasa kuna wadau hadi wana ni tag nyuzi za mashoga na mambo ya kike, niwaambie tu, najiamini na mimi ni mwanaume rijali. Mnapoteza muda.