Usidanganyike: Yanga ni Bora Kuliko Simba

Ha ha ha haaah naangalia upepo huenda nikawa mzalendo siku hiyo.

Amua mapema kabla mechi haijaanza, ukidandia treni kwa mbele litakuvunjavunja.

Tunawashukuru mikia wote waliokuwa upande wetu katika mechi zilizotangulia. Hata hivyo kila mtu bado anao uhuru wa kushabikia na/au kushangilia timu yoyote anayoipenda hata kama ni ya nje, huu mwanya utumike vizuri kabla sheria ya kuwabana haijapitishwa bungeni.
 
Huo ni mtazamo mpana wa wana Yanga. Kwa mikia, ubora wa timu yao ni kuifunga Yanga basi. Kila mtu na mtazamo wake.
 
Nitakuwa pamoja na yanga
 
Matokeo ya head-to-head msimu huu yana lowest priority maana tayari yamejumuishwa katika data zilizotolewa hapo juu.


Simba ni sawa na mwanafunzi anayefaulu somo moja kati ya masomo 10,sasa watabaki kuwa mazezeta tu!!!!
 
Tupatie basi na matokeo ya head-to-head msimu huu, lakini kama unayo


Hakuna maana ya kula chakula kizuri mara 2 kwa mwaka halafu una shinda njaa siku 363 zilizobakia,hiyo ndio simba mambumbumbu fC
 
Hakuna maana ya kula chakula kizuri mara 2 kwa mwaka halafu una shinda njaa siku 363 zilizobakia,hiyo ndio simba mambumbumbu fC
Hakuna maana ya kula chakula kizuri siku 363 za mwaka halafu unakuja kuzimia na kubebelewa kwenye ambulance kwa fedheha kwa kukosa kula siku 2
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mabaharia wamefukua kaburiiii
 
ulinipiga za kidevu sasahivi nakupa za pua
 
Nilivyosoma title nikasema ngoja nisome hiki kichekesho.Kumbe kaburi LA umri wa mtoto kuanza nursery school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…