Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
- Thread starter
- #41
Ha ha ha haaah naangalia upepo huenda nikawa mzalendo siku hiyo.
Amua mapema kabla mechi haijaanza, ukidandia treni kwa mbele litakuvunjavunja.
Tunawashukuru mikia wote waliokuwa upande wetu katika mechi zilizotangulia. Hata hivyo kila mtu bado anao uhuru wa kushabikia na/au kushangilia timu yoyote anayoipenda hata kama ni ya nje, huu mwanya utumike vizuri kabla sheria ya kuwabana haijapitishwa bungeni.