Dah... Let me reserve my comment🥺🙇🏿♂🤔Wewe ni GENTAMYCINE , Kalpana Scars , Mshana Jr au muhasibu OKW BOBAN SUNZU ???
Maana hao wanazi wa kolo huwaambii kitu juu ya kolo kushinda, wanaamini eti hata march kolo atashinda kwa timu bora ya wananchi.
Hakuna Cha kuambiwa. Mechi ya Simba na Azam ni lazima Simba ishinde.
Mkeka uko wazi sana huu.Ni vile watu hawataki kumfilisi muhindiSimple;
Bet hata kwa mara ya kwanza.
Tafuta mechi ya Simba na Azam kwenye mikeka ya Betting.
Mpe Simba Ushindi. Mpaka Sasa ana point 1.60.
Hapo ukiweka laki una laki na sitini, ukiweka milioni, una milioni na laki sita.
Ukichelewa hizo point zinashuka. Simba kuifunga Azam is a must.
Bet what you CAN'T afford to loose, because you will never loose.
Utanishukuru kesho jioni.
We jichanganye ujute, beti kama uwanjani unacheza wewe 😂Half american kumbe mambo rahisi hivi ila unanibania!!
Acha hizo bwana, acha kunibania. Tuingie darasani🤣We jichanganye ujute, beti kama uwanjani unacheza wewe 😂
Tarehe za mishahara hizi najua umejaa mihela unataka uwagawieAcha hizo bwana, acha kunibania. Tuingie darasani🤣
KeshoSimple;
Bet hata kwa mara ya kwanza.
Mshahara umeisha Asubuhi🤣🤣Tarehe za mishahara hizi najua umejaa mihela unataka uwagawie
na betting companies
Wewe ni GENTAMYCINE , Kalpana Scars , Mshana Jr au muhasibu OKW BOBAN SUNZU ???
Maana hao wanazi wa kolo huwaambii kitu juu ya kolo kushinda, wanaamini eti hata march kolo atashinda kwa timu bora ya wananchi.