Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
- Thread starter
- #21
Shetani ni roho hakuna asichojua kuhusu mambo ya rohoni,Ni kweli mkuu shetani hawezi kuwa na nguvu kuliko Yesu, lakini iko hivi:
Yesu kimwili ni Binadamu i.e alikua, aliishi sawa kama na sisi tunavyoishi.
Lakini Kiroho, Yesu ni Mungu na ndo maana ndiye aliyeumba vyote na Shetani analifahamu hilo na kukiri hivyo.
Kwa mantiki hiyo, Shetani alipambana na Yesu lakini ilikuwa ni kimwili zaidi na aliishia kuudhuru mwili.Hakuweza na Alishindwa kabisa Kiroho. Yesu alifufuka na kuvaa mwili usioharibika tena.