Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
- Thread starter
-
- #21
Shetani ni roho hakuna asichojua kuhusu mambo ya rohoni,Ni kweli mkuu shetani hawezi kuwa na nguvu kuliko Yesu, lakini iko hivi:
Yesu kimwili ni Binadamu i.e alikua, aliishi sawa kama na sisi tunavyoishi.
Lakini Kiroho, Yesu ni Mungu na ndo maana ndiye aliyeumba vyote na Shetani analifahamu hilo na kukiri hivyo.
Kwa mantiki hiyo, Shetani alipambana na Yesu lakini ilikuwa ni kimwili zaidi na aliishia kuudhuru mwili.Hakuweza na Alishindwa kabisa Kiroho. Yesu alifufuka na kuvaa mwili usioharibika tena.
Bakora bado zinatembea na mitume wanachapika sawa sawa mpaka Papa Benedicto wa XVI akaamua kujiuzuluKwa Yesu, shetani alidhani amemkomoa ila alitimiza maandiko. .. . ilikuwa lazma mwana wa Adamu aje aishi kama mwanadamu na asubulubiwe...afanyike laana ..aimwage damu yake isiyo na hatia kwa ajili ya utakaso wa kila mwanadamu mwenye mwili duniani.. afe azikwe na afufuke..
Msalaba una nguvu kuliko mauti.
Ukitumia reference ndugu yangu utagundua hii kitu sio ndogo kama wengi wanavyofikiriMi nashangaaga sana watu wanaomtukana shetani, wakimsema na kumchora vibaya. Shetani anapaswa kuheshimiwa.
Naongea nikiwa na ushahidi kuwa Ayubu na utaishi wake alichapika sawa sawa, je wewe usiyekuwa na hata 50% ya Ayubu utaweza?Umeshindwa ewe pepo kwa jina la Yesu.
Mitume wangapi wanafumwa wakiwa na makahaba ama niwataje kwamajina?, walevi, wezi, wauwaji? Nguvu walizo nazo ziko wapi?Hizo nguvu unazosema alikuwa nazo zilikuwa wakati ule wa agano lile.... YESU aliposurubiwa msalabani alikufa akaenda kuzimu akamnyang'anya shetani nguvu zile unazosema na ufunguo huku akiichukua hati ya mashitaka na kumfunga huko kuzimu na minyororo. Kwa hiyo sasa hivi shetani hana huo uwezo unaosema ni maajenti wake ndio wanaotesa wanadamu unapotumia silaha za imani likiwamo jina la YESU KRISTO.... Wanakaa mbali nawe. Kwa hiyo silaha kibwa ya shetani kipindi hiki ni Uongo ama udanganyifu kama vile alivyofanya kwa adamu kuudanganya ulimwengu kuingia dhambini na hapo ndipo anapopata nafasi ya kukushughulikia maana dhambi ni uasi na yoyote afanyae uasi ni adui wa MUNGU. SIKU INAKUJA YESU ATALICHUKUA KANISA LAKE NA YULE SHETANI ATAFUNGULIWA WALE WALIOBAKI PAMOJA NAE WATAKIONA CHA MOTO.
NDIOKumbe yesu ni mwana wa mungu?
Ni kweli kabisa na kwa kuijua nguvu ya Yesu kiroho alianza kulia na kusononeka pale alipofikia hatua ya kumwomba Yesu kwa kupiga magoti na kusema "Bwana, usituangamize bali tuamuru twende kwenye lile kundi la nguruwe." Marko 5:1-14Shetani ni roho ahakina asichojua kuhusu mambo ya rohoni,
Mtume akijifanya yeye mcha Mungu basi mshedede unamsimama mpaka anakula kondoo, vipo visa vingi sana vya kuhusu viongozi wa dini kufanya mambo ya ajabu sana, iwe kwa siri au faragha, wanaojulikana ni wachache sana wengi wao wanafanya kwa siriShetani baba Lao binadamu kamwe humuwezi yupo enzi tangu na tangu naam amewashinda wengi mapadre wanazini masheikh wanabaka viongozi wa serikali wanaiba kura waumini wanauwana binadamu hawana wema kuna wachawi wazinifu wauwaji wala utu je nani atapona mungu ametengeneza kitu ambacho kinawafuasi wengi kushinda yeye watu wanafata dini kwakuwa wamezaliwa nazo tu lakini hawana hata moja wanalofata katika kama hakuna duniani asiye na dhambi basi shetani baba lao
Wewe hujiulizi ana nguvu kiasi gani mpaka amtandike yesu na amwambie kama wewe ni mtoto wa Mungu basi jishushe msalabani?Sawa Mtumikie Shetani
Shetani hashindwi, hizo ni habari za binadamu wanaojiaminisha na wanaojaribu kukimbia ukweli wa Shetani.Story hizo za kutunga zimekuja au zimewaingia wakristo wengi baada ya kukosa uhakika na dini yao...
Shetani/iblisi ni kiumbe aliyetezwa nguvu na Muumba wake na siku ya kiyama moto wa jahanamu unamsubiri.. kwa mantiki yako hiyo kana kwamba unataka kusema kuwa shetani au ku declare kabisa ushetani wako.
Hakika vitimbi vya shetani ni dhaifu ikiwa utataka hifadhi kwa Mola mbingu na nchi.
Nikikuletea ushahidi mambo mengi aliyowahi kushindwa shetani utayasadiki? Kupitia manabii na mitume na watu waliojikurubisha kwa muumba wao?
Wale ni vijakazi wake, hakuwa shetani mwenyewe.Ni kweli kabisa na kwa kuijua nguvu ya Yesu kiroho alianza kulia na kusononeka pale alipofikia hatua ya kumwomba Yesu kwa kupiga magoti na kusema "Bwana, usituangamize bali tuamuru twende kwenye lile kundi la nguruwe." Marko 5:1-14
Hakuna maandiko kwenye Biblia yanayosema 'kama wewe ni mwana wa Mungu jishushe msalabani".Wewe hujiulizi ana nguvu kiasi gani mpaka amtandike yesu na amwambie kama wewe ni mtoto wa Mungu basi jishushe msalabani?
Usidhani ni kitu kidogo hiki, kama yesu alichapwa kiasi kile basi binadamu utamumunywa kama pipi
Yesu alishinda kijana. Thats why alifufuka after 3 dysShetani hashindwi, hizo ni habari za binadamu wanaojiaminisha na wanaojaribu kukimbia ukweli wa Shetani. Mara nyingi watu wanashindwa kutofautisha kati ya Shetani na mapepo, mapepo ni vitoto vidogo ambavyo ndivyo watu wana deal navyo kila siku lakini Shetani mwenyewe akishuka katika ardhi ya Tanzania basi hii nchi itageuka kichwa chini miguu juu, mimi naongea kwa reference,
Yesu pamoja na nguvu zote alichapwa vibaya sana je wewe binadamu utachapikaje utakapojaribu kuingia nae katika vita?
Yesu kaumbaje vitu wakati Yesu kabla hajazaliwa na bikira Maria kulikua na maisha sasa inamaana aliumba vitu vyote then akafa halafu akazaliwa tena au kwa kwa urahisi tu inamaana Adam aliumbwa na Yesu wakina Ibrahim ahaaa dini zinachanganya halafu hao waliotuletea hawana habariYesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?