Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

kwa upande Wang cyo kwmb naamin shetan ananguvu kuliko Mungu lakin ukwel ni kuw shetan ni roho ya hatari San na cyo ya mchezo Kam watu wanavyo mchukulia

shetan ananguvu zaajabu San, ukitak kuamin jiangalia mwenyew hpo ulipo Mar ngap umejitahid kuacha dhambi lkn unashindwa na ndio maan vitabu vitakatifu vinathibitisha kuw watakao fika mbinguni ni wachache Sana.
 
kwnz wew kila siku unamtumikia shetan ndio man kila siku iendayo hutenda dhambi eidha makusudi au bahati mbaya.

acha kujinafikia, binadamu wote tunampend Mungu lkn kumfuata wengi tumeshindwa
 
Je, ndani ya miezi mitatu iliyopita hukutenda dhambi?
 
Unatumia pesa, condom, na vitu kedekede alafu unasema utamkimbia Shetani? [emoji23]
anajinafikia, anafikiri shetan ni kitu kidg..

kwnz anajua kosa alilofanya shetan mpk kutimuliwa mbinguni na anajua shetan kabla ya kulaniwa alkua Nani?

nyie shetan ni nyoko na asilimia 75 ya watu wote ulimwenguni tunamtumikia shetan ukitak kuamin, Pima kiwango Cha mabaya yako na mema afu jipe jibu
 
yale yalikua mapepo mzee
Mmmh. Je, Yesu alizunguka huko na huko akiponya wote walioonewa na Ibilisi .... kwa hiyo mapepo sio Shetani? Hebu utuambie kazi au matendo ya Shetani, matendo ya Mapepo, matendo ya yule mwovu, matendo ya Ibilisi na nguvu za giza etc.

Huoni kwamba unachanganya mafaili mkuu? Kumbuka mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Kwahiyo wewe umetakasika? Na damu yake yesu?

Nyie bana Yesu anawachek tu mkimsingizia
 
Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
Bado unasafari ndefu sana ya kumjua Mungu na kumtofautisha Mtumwa wa Mungu Yesu. Soma vzr kitabu chako unachokiamini uone hapoahali Yesu alipoumbwa hivyo unavyovisema.

Kwa kukisaidia kidogo, Yesu mi mmoja wa wanadamu na viumbe walioumbwa na Mungu na aliyezaliwa na Mwanamke na aliyekuwa naadhaifu yake. Ni Mtumishi wa Mungu aliyetumwa kwa wanadamu kueleza yale atakayo Mungu. Hata naye kwenye kila jambo lake alikuwa akimuomba Mungu kwa maana yeye Si Mungu.

Mfano anasema "ee baba, wasamehe hawa kwa maana hawajui watendalo" hapo akimuomba Mungu Awasamehe wakosaji. Kumpa Yesu hadhi na uwezo wa Mungu angali yeye hajawahi umba hata sisimizi ni Kufuru na Shirki ya hali ya juu.

Badili mtazamo wako huo kabla hujafa, kwa maana hutakuwa na muda wa kutubu bdae na kumpa heshima stahiki Mungu Mwenyewe Muumba (Allah).
 
Jaribu kipitia historia utaona jinsi mitume walichapika na wanavyochapika mpaka sasa,
Endelea kumtukuza shetan wako ila jamaa hapo amekueleza ukweli, nakushauri jitahidi usome vizur Biblia na Mungu akupe ufahamu wa kulielewa neno la Mungu.
 
Ni mwana wa Mungu.

Mungu muumba mbingu na dunia.

Yesu pia ni MUNGU.
Acha kufuru wewe!! Mungu hana mtoto na pia Yesu si Mungu. Yeye ni Mwana wa Adam kwa maana ni (Binadamu) ie Bin adam

Umeshawahi sikia wapi Mungu anakufa? (Maana naamini unaamini kuwa Yesu alikufa). Tena anakufa kwa kuuliwa na Mwanadamu aliyemuumba? Je mwanadamu ana nguvu kumzidi Mungu? Kama Mungu ndiye Muumba wa Vyote, Je Yesu alimuumba mama yake mzazi?

Je Mungu anaposema "nimtume nani"? Na akaamua Kumtuma Yesu, ina maana Mungu anatumwa? Kama Mungu ametumwa, je aliyemtuma ananguvu gani? Au unaamini kuna Miungu wangapi kww imani yako? Je Unaamini kuna Mungu Mkubwa na mdogo? Katika dini yako, anayetumwa na Mungu ili amtendee kazi zake anaitwa nani? Yesu aliposema "Bwana Wasamehe hawa hawajui watendalo.." alikuwa akimuomba nani awasamehe?

Jamaa, fanya mabadiriko kwenye kichwa chako kabla hujakabidhi amana ya roho ya Mungu aliyekuumba wewe, mimi, Yesu (Asw), Muhammad (s.a.w), Ibrahimu (asw) na vyote duniani na akhera. Yesu ni Mtume wa Mungu na SI MUNGU!

Kampe padre wako hii msg na hayo maswali msaidiane kuyatafakari.
 
Mungu yupi ambaye anakubali shetani adhuru mwili wake?? Mungu uyu uyu au mwingine wa nazaret
 
Mungu yupi ambaye anakubali shetani adhuru mwili wake?? Mungu uyu uyu au mwingine wa nazaret
Mkuu; Hebu soma Isaya 53 : 1-9 kwa utulivu na kwa kutafakari kwa undani labda utapata mangamuzi ni nani anayezungumziwa hapo.
 
"mmepigwa!"



JESUS IS LORD
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwakweli umewasilisha Biti la shetani kama alivokuagiza
 
Ndugu kumwelewa Mungu sio jambo dogo na kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana kumwelewa.

Manabii na Mitume wote walikuwa wanapata ufunuo na ndio maana huwezi kusoma maandiko ya Mungu ukamaliza.
 
Kama unakubaliana na hayo maswali uliyouliza basi jiulize Yesu alikuwa wapi na alikuwa nani wakati huo? Na kwanini pekee ndio aliweza hiyo kazi?
 
Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
YESU ni MUNGU MTU. Hii inamaana kuwa YESU ni MUNGU 100%, na ni MTU 100%.
Hii inamaana kuwa ROHO ya YESU ni MUNGU 100%,na MWILI wa YESU ni MTU 100%
ROHO ya YESU ilikuwepo kabla ya kuumbwa chochote (NENO LA MUNGU, hivyo ilikuwepo ndani ya MUNGU). MUNGU ni yule mwenye uwezo wa KUUMBA( na Kwasababu, NENO LA MUNGU linaumba, Kwahiyo YESU ni MUNGU). Hivyo MUNGU ni MMOJA tu ila ndani ya MUNGU Kuna ROHO TATU( YEYE mwenyewe ( MUNGU BABA), NENO LAKE MUNGU ( MUNGU MWANA), NGUVU ZA MUNGU ( MUNGU ROHO MTAKATIFU)).
MWILI wa YESU ulianza pale MARIAM alipopata MIMBA YA YESU, Kwahiyo MWILI wa YESU una miaka zaidi ya 2000( Lakini, ROHO ya YESU haina MWANZO). Kitendo cha YESU kuzaliwa kinamfanya awe binadamu na kupata mastahili yote ya kibinadamu isipokuwa yeye hakutenda dhambi. Mastahili hayo ni kama: usingizi, njaa,kufa, nk. Kwa msingi huo YESU alijaribiwa na kupata taabu zingine za kibinadamu Kwasababu alikuwa MTU 100% na shetani ameruhusiwa kuwajaribu watu wote. Na ili umshinde shetani ni lazima MUNGU aingilie kati kukuwezesha kumshinda shetani ( binadamu peke yake hawezi chochote).
 
SHETANI NI MJANJA NA MWEREVU KULIKO MUNGU. ANAMSUMBUA MUNGU KAMA GENGE LA MADAWA YA KULEVYA LINAVYOZISUMBUA SERIKALI ZA KIDUNIA.
 
MUNGU HAWEZI KUUMBA UUME NA UKE KISHA ASEME KUVITUMIA NI DHAMBI. SUALA LA NIDHAMU YA KINGONO NI SUALA LA UTU NA USTAARABU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…