NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ungekuwa wewe ungerudi?Ni wapi alishinda?
Alikula kichapo hadi kufa, alipofufuka kajibadili sura halafu kakimbia na huenda asirudi tena…. ahadi ya kurudi kwake ni porojo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa wewe ungerudi?Ni wapi alishinda?
Alikula kichapo hadi kufa, alipofufuka kajibadili sura halafu kakimbia na huenda asirudi tena…. ahadi ya kurudi kwake ni porojo.
Huna hoja. Jitafakari na Mungu wako Yesu unayesema alikula mijeredi na kisha watu wakamuua Mungu wako Msalabani."mmepigwa!"
JESUS IS LORD
Kwa hiyo tutumie akili za nani kumwelewa angali sote sisi ni binafamu? Mara nyingi tunapoishiwa hoja kwenye maswali ya msingi, tunakuja na barriers za kutuwekea ukomo wa Kufikiri.Ndugu kumwelewa Mungu sio jambo dogo na kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana kumwelewa.
Manabii na Mitume wote walikuwa wanapata ufunuo na ndio maana huwezi kusoma maandiko ya Mungu ukamaliza.
Shetani alimshinda wapi Nabii Enoch?Mitume wangapi wanafumwa wakiwa na makahaba ama niwataje kwamajina?, walevi, wezi, wauwaji? Nguvu walizo nazo ziko wapi?
Lazima ujue historia ya uasi wa mbinguni kwanza. Lucifer alikuwa ni malaika mkuu (kama waziri mkuu), ikafikia mahali malaika wa chini yake, wakamshawishi Lucifer aasi ampindue Mungu, kwasababu ana nguvu, ujuzi na maarifa yote.Mwanzoni sikujibiwa tofauti kati ya mapepo na shetani. Sasa wewe unasema tunamuongelea Lucifer. Naomba nikuulize hesabu hili na unibainishie ni sawa au sio sawa.;
Pepo = Shetani =Lucifer?
Usisahau pia kuwa mtume Muddy alikuwa anakabwa kabali na shetwaini hadi anzirai na akirudiwa na fahamu anashushiwa aya na kiumbe kilichomkaba.Mungu yupi ambaye anakubali shetani adhuru mwili wake?? Mungu uyu uyu au mwingine wa nazaret
Yesu mwana wa Mungu!!Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Duuh [emoji15][emoji15]SHETANI NI MJANJA NA MWEREVU KULIKO MUNGU. ANAMSUMBUA MUNGU KAMA GENGE LA MADAWA YA KULEVYA LINAVYOZISUMBUA SERIKALI ZA KIDUNIA.
labda nikueleze kidg kuhus mapepo, ukisoma vzr biblia inaeleza juu ya Vita kuu, iliyopiganwa mbinguni Kati ya Mungu na shetan..Mmmh. Je, Yesu alizunguka huko na huko akiponya wote walioonewa na Ibilisi .... kwa hiyo mapepo sio Shetani? Hebu utuambie kazi au matendo ya Shetani, matendo ya Mapepo, matendo ya yule mwovu, matendo ya Ibilisi na nguvu za giza etc.
Huoni kwamba unachanganya mafaili mkuu? Kumbuka mtoto wa nyoka ni nyoka.
#Sahihisho kidogo mkuu; ..... Sio Kumuhasi Mungu bali ni Kumuasi Mungulabda nikueleze kidg kuhus mapepo, ukisoma vzr biblia inaeleza juu ya Vita kuu, iliyopiganwa mbinguni Kati ya Mungu na shetan..
Inaeleza kuwa shetan alitaka kupindua Mungu na kuitawala mbingu, akashawishi baadhi ya malaika na wakakubali, ndipo wakaanzisha Vita na kupigwa vibaya ndipo Mungu akamlaani shetan na kumfukuza mbinguni yeye na malaika wake waovu, ndipo wakatupwa duniani, wale walio angukia baharini ndio hao majini, na wale walio angukia nchi kavu ndio haya mapepo
hivo mapepo syo shetan Bali ni mawakala wake.
mziki wa shetani cyo wa kitoto kwa sis binadamu, kwanz unatakiw ujue kabla shetan hajamuhasi Mungu ndie alikua malaika mkuu( lucipher) na harakt. zot za kuumbwa binadamu alikuwepo na anajua kila kitu kuhusu binadamu.
oya shetan cyo roho ya kitoto
Mkuu, mbona haileti Logic kwa sababu umesema Lucifer ni Malaika mkuu (kwa hiyo ni Malaika ukiachana na cheo chake) na tena ukasema malaika wa chini yake ( uzingatie kwamba nao pia ni Malaika japo hawakuwa na cheo). Baada ya vita ulioisema ya huko mbinguni Lucifer na wenzake wakafukuzwa mbinguni.Lazima ujue historia ya uasi wa mbinguni kwanza. Lucifer alikuwa ni malaika mkuu (kama waziri mkuu), ikafikia mahali malaika wa chini yake, wakamshawishi Lucifer aasi ampindue Mungu, kwasababu ana nguvu, ujuzi na maarifa yote.
Lucifer akaasi. Ikatokea vita kwa jeshi la Mungu na Lucifer. Lucifer akapigwa akafukuzwa mbinguni na wafuasi wake (malaika waliogeuka kuwa mapepo wakuu) wakaja wakaanzisha utawala huku chini (duniani?). Hao mapepo wakuu wanao wa chini yao..mapepo wa kawaida.
* Kurudi kwenye swali lako la msingi..pepo ni pepo (evil spirit), shetani ni neno linatokana na neno la kiarabu shaitwani ambapo wanamaanisha ni Lucifer.
Unasoma haya wapi wewe mwana wa shetani?Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Samahani mkuu, Usimwite mwana wa Shetani bali subiri kwanza akuambie ameyasoma wapi. Akishindwa kujibu hoja yako basi wewe utakuwa uko sahihi. Ni hayo tu.Unasoma haya wapi wewe mwana wa shetani?
Sina haja ya kumsubiri maana mambo ya Ayubu na Yesu mwana wa Mungu hujui kayatoa wapi boss?Samahani mkuu, Usimwite mwana wa Shetani bali subiri kwanza akuambie ameyasoma wapi. Akishindwa kujibu hoja yako basi wewe utakuwa uko sahihi. Ni hayo tu.
Hao wote mko kundi moja na baba yenu wote ni ibilisi. So huna haja ya kuwataja ndugu zako. Utawadhalilisha bure tu!Mitume wangapi wanafumwa wakiwa na makahaba ama niwataje kwamajina?, walevi, wezi, wauwaji? Nguvu walizo nazo ziko wapi?
Tumeona namna Yesu aligaragazwa na kupokea dharau kali kama wewe ni mwana wa Mungu geuza haya mawe kuwa mkate, kama wewe ni mwana wa Mungu jiokoe msalabani, Adam na Hawa pamoja na onyo kali walilopewa wakaelezwa hilo ni biti tu kuleni hayo matunda na wakala kwahiyo mshindi ni aliyewashawishi kula, Ayubu akachapika waliposema wanamtii Mungu, Mitume ikiwemo Stephano walipigwa mawe hadi kufa walipojaribu kueneza mahubiri.Unasoma haya wapi wewe mwana wa shetani?
Kwa nini unasema hakuwezi?Shetani mimi haniwezi...