Usidharau biashara za kifamilia wakati zimekulea!

Ukiona wazee hawakuelewi jua ulikuwa kilaza sana ama mjanja mjanja sana, hamna anaye mjua mwana zaidi ya mzazi
 
bonge la wazo mkuu,embu gonga kiroba hapo nakuja kulipa,ooh basi nyonya balimi kwa mrija nta clear bill
 
Mkuu baba yangu alikuwa msomi mzuri sana ila alikuwa baba mmoja mkuda na yeye kuwa na elimu alikuwa ashauriki wala nini huyo baba alinifanya kuona kama elimu aina muhimu wowote katika maisha aya yani ni msomi na pesa anazo lakini alichoumbiwa awezi kumuamini mtoto wake ata siku moja
 
Sure broh nimekupata sana
 
wa hindi na waarabu pia wanafanya vizuri kwenye hizi biashara za familia.
ina leta upendo pia kwa ndugu.
 

Aah wanaboa sana man. Mimi Kamwe siwez lalama on the academic side of my father....ametusupport sana sisi wanae kutusomesha hata nnje ni yeye katulipia kwenda, kila kitu ata finance mpaka graduation party et al ....ila the funny thing kukuwezesha kibiashara anakua mgumu hataki kabisa....ilimchukua muda sana kutoa support but ni out of shame and guilt....by then Bi. Mkubwa alikua keshatusogeza sana. Ila ile kwa upande mwingine imenisaidia sana kuwa na nidhamu ya hela.
 
Afadhali ww baba yangu pesa anazo katipeleka shule za kawaida tu yeye kunywa tu ndiyo maana naichukia pombe zaidi ya shetani ndiyo iliyo muaribu kabisa na kumuuwa
 
Nilmkuta kaka yangu anafanya local money lender nikamshauri tukafungua microcredit company. Ni miaka minne sasa tumepiga hatua kubwa sana hata kazi niliacha, atleast now naitendea haki BCOM.Finance yangu.
 
Ukitoa ushauri unaambiwa hizi mali zangu mimi...sasa kwani mimi nimesema ni za kwangu ndo mana watanzania wenye asili ya kiafrica hatuendelei kabisa...
Mentality za kijamaa, Ujamaa uko kichwani mwetu bado
 
Maada yako umeileta wakati muafaka! Tutajifunza kwa wahindi hakika tutafika! Wala tusitie hofu kwani Maulana Mola wetu ametuangazia uso wake na ametubariki milele yote! Believe me!
 
Umesema kweli japo umemalizia visivyo.

Shida kubwa ni mentality ya wizi , ubadhirifu na ubinafsi.

Unakuta mtu anakataa kulima shamba la kwao lakini yuko radhi kwenda kulima vibarua kwa jirani.
 

inasikitisha! but such is life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…