Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu baba yangu alikuwa msomi mzuri sana ila alikuwa baba mmoja mkuda na yeye kuwa na elimu alikuwa ashauriki wala nini huyo baba alinifanya kuona kama elimu aina muhimu wowote katika maisha aya yani ni msomi na pesa anazo lakini alichoumbiwa awezi kumuamini mtoto wake ata siku mojaNyie hamjakutana na wazee ma bandidu nyie hasa hawa wazee wetu wa kichagga.
Mzee wa Kichagga atakusomesha mpaka Ulaya au States of America kama hela anayo ila biashara yake hugusi na ukiomba mtaji uanzishe yako hakupi hata Tsh 100. Wengi wao ni wakuda sana.
Usilolijua litakusumbua ndugu. Mi nakumbuka mtaji wa biashara yangu ya kwanza ni Bi. Mkubwa ndio alinipa + a bit of my savings...namuheshimu sana my Mom for that cz ilinifanya hata nikaheshimika. Mdingi baadae sana kuona noma ndio akaanza kunileta karibu. Hela unakuta anayo ila cent 5 ya kufungua biashara hakupi. Baas tu.
Sure broh nimekupata sanaJe? Uko kwenye kazi ambayo huipendi? Yaani upo upo tu unasubiri saa 11 jioni ifike usepe na tarehe 30 ulipwe? Je? Ni kitu gani kinakujia kichwani mwako mwanzo kabisa ukisikia makampuni haya....Nike, Volkswagen, Louis Vuitton, Samsung, Tata, Foxcon, Ford...au za nyumbani basi...Azam Bakhresa, Manji, Mo...?
Izo zote ni kampuni za kifamilia yaani family owned businesses. Nina uhakika ushavaa viatu vya Nike, ukanunua simu ya Samsung au Iphone, computer za Dell, HP au Apple, ukanywa whisky ya Hennessy, perfumes za mtoni- Christine Dior, Kenzo bila hata kujua anyway yote hayo ni kazi za branding, Azam, Mo, Manji products ndio usiseme wote tumekula hizi!
Inabidi tufikirie jinsi ya kuongeza thamani katika biashara za kifamilia. Kuna wengine wazazi wana tengeneza keki za kufa mtu na kupamba ukumbi matata, wengine wanafuga kuku wanakusomesha unaenda kutafuta kazi benki. Si vibaya ila izo biashara tatu tu nilizotaja unaweza kutengeza mshahara wa mwaka mzima huko benki ndani ya miezi. Think of innovation ya kuongeza kwenye hizi biashara lakini waTanzania wamekuwa wakidharau biashara za kifamilia kama hazina maana wakati zimekusomesha. Mwingine anakuuliza kwani hii biashara ya familia nayo kazi?
Ukweli ni kwamba opportunities Tanzania zipo nyingi ila swala la infrastructure ni issue ya siku ingine.
My 2 cents.
wa hindi na waarabu pia wanafanya vizuri kwenye hizi biashara za familia.Je? Uko kwenye kazi ambayo huipendi? Yaani upo upo tu unasubiri saa 11 jioni ifike usepe na tarehe 30 ulipwe? Je? Ni kitu gani kinakujia kichwani mwako mwanzo kabisa ukisikia makampuni haya....Nike, Volkswagen, Louis Vuitton, Samsung, Tata, Foxcon, Ford...au za nyumbani basi...Azam Bakhresa, Manji, Mo...?
Izo zote ni kampuni za kifamilia yaani family owned businesses. Nina uhakika ushavaa viatu vya Nike, ukanunua simu ya Samsung au Iphone, computer za Dell, HP au Apple, ukanywa whisky ya Hennessy, perfumes za mtoni- Christine Dior, Kenzo bila hata kujua anyway yote hayo ni kazi za branding, Azam, Mo, Manji products ndio usiseme wote tumekula hizi!
Inabidi tufikirie jinsi ya kuongeza thamani katika biashara za kifamilia. Kuna wengine wazazi wana tengeneza keki za kufa mtu na kupamba ukumbi matata, wengine wanafuga kuku wanakusomesha unaenda kutafuta kazi benki. Si vibaya ila izo biashara tatu tu nilizotaja unaweza kutengeza mshahara wa mwaka mzima huko benki ndani ya miezi. Think of innovation ya kuongeza kwenye hizi biashara lakini waTanzania wamekuwa wakidharau biashara za kifamilia kama hazina maana wakati zimekusomesha. Mwingine anakuuliza kwani hii biashara ya familia nayo kazi?
Ukweli ni kwamba opportunities Tanzania zipo nyingi ila swala la infrastructure ni issue ya siku ingine.
My 2 cents.
na wana mambo ya kikoloni kichizi .. ukitaka hata kumshauri huwezi
Nikweli Mzee baba
Sure broh nimekupata sana
duh usifanyie watoto wako hivyoIcho ndo kilichonikimbiza home,
duh usifanyie watoto wako hivyo
Mkuu baba yangu alikuwa msomi mzuri sana ila alikuwa baba mmoja mkuda na yeye kuwa na elimu alikuwa ashauriki wala nini huyo baba alinifanya kuona kama elimu aina muhimu wowote katika maisha aya yani ni msomi na pesa anazo lakini alichoumbiwa awezi kumuamini mtoto wake ata siku moja
Afadhali ww baba yangu pesa anazo katipeleka shule za kawaida tu yeye kunywa tu ndiyo maana naichukia pombe zaidi ya shetani ndiyo iliyo muaribu kabisa na kumuuwaAah wanaboa sana man. Mimi Kamwe siwez lalama on the academic side of my father....ametusupport sana sisi wanae kutusomesha hata nnje ni yeye katulipia kwenda, kila kitu ata finance mpaka graduation party et al ....ila the funny thing kukuwezesha kibiashara anakua mgumu hataki kabisa....ilimchukua muda sana kutoa support but ni out of shame and guilt....by then Bi. Mkubwa alikua keshatusogeza sana. Ila ile kwa upande mwingine imenisaidia sana kuwa na nidhamu ya hela.
Mentality za kijamaa, Ujamaa uko kichwani mwetu badoUkitoa ushauri unaambiwa hizi mali zangu mimi...sasa kwani mimi nimesema ni za kwangu ndo mana watanzania wenye asili ya kiafrica hatuendelei kabisa...
Utaondoka tu! Be positive! Biashara ni imani...Mentality za kijamaa, Ujamaa uko kichwani mwetu bado
Umesema kweli japo umemalizia visivyo.Je? Uko kwenye kazi ambayo huipendi? Yaani upo upo tu unasubiri saa 11 jioni ifike usepe na tarehe 30 ulipwe? Je? Ni kitu gani kinakujia kichwani mwako mwanzo kabisa ukisikia makampuni haya....Nike, Volkswagen, Louis Vuitton, Samsung, Tata, Foxcon, Ford...au za nyumbani basi...Azam Bakhresa, Manji, Mo...?