Usidharau biashara za kifamilia wakati zimekulea!

Usidharau biashara za kifamilia wakati zimekulea!

Afadhali ww baba yangu pesa anazo katipeleka shule za kawaida tu yeye kunywa tu ndiyo maana naichukia pombe zaidi ya shetani ndiyo iliyo muaribu kabisa na kumuuwa

pole sana mkuu, pombe ni addiction pia, inaharibu vingi tu.
 
Back
Top Bottom