Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Wewe Jamaa Noma!Mhm kibongo bongo , kama sio mwanasiasa upige dili za kikax tu kinyume na hapo uzuge na hizo hatua ndogo ila ndani yake unajua wap unapiga kibingwa, yani nyuma yako kuwe na kundi kubwa linalia juu ya hizo hatua zako😆
Muogope MunguMhm kibongo bongo , kama sio mwanasiasa upige dili za kikax tu kinyume na hapo uzuge na hizo hatua ndogo ila ndani yake unajua wap unapiga kibingwa, yani nyuma yako kuwe na kundi kubwa linalia juu ya hizo hatua zako😆
Upo sahihi kabisa mkuuKama wasemavyo maisha ni hatua ndivyo ilivyo japo inahitaji nidhamu na subira ya juu sana kuunganisha hizo hatua ili upate umbali mrefu.
Ukimuona mtu yupo mbali kwenye jambo fulani kuna uwezekano mkubwa alianza na hatua ndogo ndogo ambapo zikiwekwa pamoja ndio huo umbali alionao sasa.
Kudharau hatua ndogo ni nidhamu mbovu itakayokukwamisha kufikia hayo malengo yako makubwa uliyonayo na dharau hiyo ndio mwanzo wa kupoteza subira kwa sababu utataka uanze leo na ufike kesho.
Kuna watu wengi tu mpaka leo bado wanasubiri mitaji mikubwa ndio waanze ila wale ambao walianza na mitaji midogo waliyokuwa nayo tayari wako mbali sasa ila wewe unaendelea tu kusubiria upate huo mtaji mkubwa ndio uanze.
Wapo waliojaliwa kuanza kwa hatua kubwa (wachache) na kuna sisi ambao huo uwezo mkubwa hatuna bali tunatakiwa tuanze na tulichonacho kwa nidhamu ili tufike tunapotarajia
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
Ndio hivyo mkuu pesa iliyopo kwenye mzunguko ni ndogo kuliko wahitaji wa hiyo pesa , hivyo njia ya kuzipata zaidi zinatakiwa ziwe za kibabe.Wewe Jamaa Noma!
Ndio ukweli wenyewe , tatizo ni kuogopa kukabiliana na ukwel kama ulivyo .Muogope Mungu
Maneno ya kimotivation ni kwa ajili ya mataifa yaliyoendelea , huku kwingine ni kuchukua maamuzi kama simba awindavyo, pesa iliyopo kwenye mzunguko ni ndogo kuliko wahitaji hivyo hapo ni vita ya tatu ya dunia.haya mambo ya subira matokeo yake unaingia third floor huna ramani
Sahihi mkuu!
✍️Sahihi mkuu!
✍️Maneno ya kimotivation ni kwa ajili ya mataifa yaliyoendelea , huku kwingine ni kuchukua maamuzi kama simba awindavyo, pesa iliyopo kwenye mzunguko ni ndogo kuliko wahitaji hivyo hapo ni vita ya tatu ya dunia.
Wengine tuko 4th floor 😊 ngoja tuone mwisho ukoje ila tusichoke safari nduguhaya mambo ya subira matokeo yake unaingia third floor huna ramani
😄Maneno ya kimotivation ni kwa ajili ya mataifa yaliyoendelea , huku kwingine ni kuchukua maamuzi kama simba awindavyo, pesa iliyopo kwenye mzunguko ni ndogo kuliko wahitaji hivyo hapo ni vita ya tatu ya dunia.
Vikwazo ni vingi kweli ila tusichoke safariAsante japo vikwazo ni vingi sana