Drake msanii mkubwa Duniani nyimbo zinazowekwa kwenye album zinapitia kwenye masikio ya jopo kubwa la wasikilizajikwahiyo ukishirikishwa na chriss wimbo ukatamba marekani
basi wewe msanii bora Africa nzima!!!!!
sitaki kukubaliana .....
japo vingine√
Inapendeza pia.....!!!!
Fb Wiz ana follower 1.4 mili na Dai 1.3 mil ila Daimond yuko verified kote insta na FB wakati Wizkid FB hayuko verifiedHiyo mitandao inatokana na nchi tuu
Wakati watanzania wengi mkiwa mko insta
Wakenya wengi wako twitter, na angalia wasanii wetu hawako na followers wengi wa twitter
So inategemeana na nchi, angalia drake au wizkid wana followers wangapi, fb, twitter na insta , then angalia na platnumz, ukiona consitently ana wapita followers kote apo jihakikishie kauli yako ila kama si hvo ujue ni kutokana na kwenu wana pendelea mtandao upi hasa
Maliza na twitter then unakuwa umekata mzizi wa fitna kabsa kabsaaFb Wiz ana follower 1.5 mili na Dai 1.3 mil ila Daimond yuko verified kote insta na FB wakati Wizkid FB hayuko verified