Usidharau power ya Instagram followers

Usidharau power ya Instagram followers

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
3,504
Reaction score
2,256
Kila mtu leo anatambua kwamba WizKid ndio msanii bora Africa ushahidi ni one dance ya Drake ambayo leo inasumbua Billboards ambayo kamshirikisha wizkid

Ila followers wa wizkid hawafiki milioni mbili(2mil), Our fav son and BET Nominee Diamond Platinumz anafollowers milioni mbili na kazalika

Bongo ndio king of social media kwa africa nzima huu ndio ukweli mchungu ambao some of us judgemental tz hatutaki kuukubali
 
kwahiyo ukishirikishwa na chriss wimbo ukatamba marekani
basi wewe msanii bora Africa nzima!!!!!
sitaki kukubaliana .....
japo vingine√
 
kwahiyo ukishirikishwa na chriss wimbo ukatamba marekani
basi wewe msanii bora Africa nzima!!!!!
sitaki kukubaliana .....
japo vingine√
Drake msanii mkubwa Duniani nyimbo zinazowekwa kwenye album zinapitia kwenye masikio ya jopo kubwa la wasikilizaji

Na mpaka uone wimbo umetolewa kwenye media mpaka kushika namba moja billboards ni ishu kubwa WizKid sio wa level hizi ila social media kibongo bongo zinasaidia

Wizkid anachotakiwa kufanya sahivi ni kumuomba Dai wafanye hata kolabo moja afikishe hata followers milioni mbili(2mil).... Na ninauhakika akifanya collabo na D atafikisha hao followers na asilimia kubwa watakuwa wabongo
 
Hiyo mitandao inatokana na nchi tuu

Wakati watanzania wengi mkiwa mko insta

Wakenya wengi wako twitter, na angalia wasanii wetu hawako na followers wengi wa twitter

So inategemeana na nchi, angalia drake au wizkid wana followers wangapi, fb, twitter na insta , then angalia na platnumz, ukiona consitently ana wapita followers kote apo jihakikishie kauli yako ila kama si hvo ujue ni kutokana na kwenu wana pendelea mtandao upi hasa
 
Hiyo mitandao inatokana na nchi tuu

Wakati watanzania wengi mkiwa mko insta

Wakenya wengi wako twitter, na angalia wasanii wetu hawako na followers wengi wa twitter

So inategemeana na nchi, angalia drake au wizkid wana followers wangapi, fb, twitter na insta , then angalia na platnumz, ukiona consitently ana wapita followers kote apo jihakikishie kauli yako ila kama si hvo ujue ni kutokana na kwenu wana pendelea mtandao upi hasa
Fb Wiz ana follower 1.4 mili na Dai 1.3 mil ila Daimond yuko verified kote insta na FB wakati Wizkid FB hayuko verified
 
Fb Wiz ana follower 1.5 mili na Dai 1.3 mil ila Daimond yuko verified kote insta na FB wakati Wizkid FB hayuko verified
Maliza na twitter then unakuwa umekata mzizi wa fitna kabsa kabsaa
 
King of all social media in bongo ni mmoja tu yule aliyekataa utumwa na kuweka uzalendo mbele,hatazaliwa mwingine hivi karibuni
 
Tatizo wenzetu hawangalii unafanya nini bali ulifanya nini, wizkid yupo juu ktk kipindi hiki cha mwezi mmoja na nusu baada ya nyimbo ya one dance kushika namba moja tena kashirikishwa, wenzetu tuzo zao wanaangalia zaidi ULIFANYA NINI na ndio maana ADELLE ktk tuzo za Grammy na nyimbo yake ya hello iliyotoka mwezi wa kumi iliyoweka record kimauzo, kukaa ktk billboard chart mda mrefu, hakuchaguliwa ktk category yoyote ktk tuzo za GRAMMY zilizofanyika JANUARY. Sasa subiria mwakani uone adelle atavyokomba tuzo za Grammy, kuanzia wimbo bora, album bora ambayo wiki ya kwanza ameuza kopy 1.25m, na msanii bora. Najua kabisa DIAMOND ana nafasi kubwa za kushinda BET kwa sababu mwaka jana jamaa alifanya vizuri. Najua wengi mtanipinga lkn mpaka mwaka jana ktk list ya wasanii bora Kutoka naija source millard ayo wasanii bora mwishoni mwa mwaka jana. 1.OLAMIDE 2.WIZKID 3.DAVIDO 4.KISS DANIEL 5.TECHNO na ndio maana hata katika tuzo za HEADIES zilizofanyika naija JANUARY mwaka huu, ambazo zinaheshima kuliko tuzo zote naija, msanii bora alikuwa OLAMIDE ambaye nyimbo yake ya BOBO ilifanya vizuri. Kama tukiziweka pembeni hizi timu zetu za KIPUMBAVU, ROHO MBAYA NA CHUKI nina uhakika asilimia 70 DIAMOND anachukua BET.
 
Back
Top Bottom