Usidharau power ya Instagram followers

70% is approximately a 100%....
 
Twita sio maarufu sana kama insta na fb....
Aaaah

Nchi za wenzetu ni maarufu tuu, usiende mbali cheki kwa uhuru kenyatta tuuu apo, ndo maana nikasema hutegemeana na pahala ulipo zaid zaid na wao hutumia mtandao gani
 
Aaaah

Nchi za wenzetu ni maarufu tuu, usiende mbali cheki kwa uhuru kenyatta tuuu apo, ndo maana nikasema hutegemeana na pahala ulipo zaid zaid na wao hutumia mtandao gani
Powerful social network kwa sasa ni instagram
 
Reactions: ora
wiz kid level gani sasa? mwendo kasi au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...?
kupitia kwenye jopo la wasikilizaji wengi bado hakumfanyi mtu kuwa bora!

ujue kwamba drake huyo huyo anaweza kuimba na makamua na ikabamba billboard[emoji23]
bado hujanipa 7bu za ubora/nini hasa kinawafanya mumwone wizkid kama mtu mwingine tofauti...?
 
Wizkid ameimba wapi kwenye one dance??? Nimeona jina tu ila sijasikia alichoimba mule
 
Biznez ya music amerika haiko kama unavyowaza wewe...

Alafu inawezekana hata one dance hujaisikia
 
Wizkid ameimba wapi kwenye one dance??? Nimeona jina tu ila sijasikia alichoimba mule
Hujasikiliza one dance ndio maana hujamsikia wizkid.....ila kama umesikiliza one dance basi utakuwa umemsikia wizkid na yule dada
 
Hahaha

Ila gap lilioko kwny twitter si umeliona!!?

Insta - diamond
Fb- wizkid
Twitter-wizkid

2-1 nadhan point yangu imekuwa valid hapo
Yah somehow....... ila tukienda Youtube viewers ndio wana determine nani ni nani.....gap sio ishu kubwa sana kumbuka fb na twita zikikuwepo kabla ya haya mapinduzi ya social media kibongo bongo.....ila kwa sasa insta ndio habari town
 
Biznez ya music amerika haiko kama unavyowaza wewe...

Alafu inawezekana hata one dance hujaisikia
haya tungoje hizo bizness ya america tuone atakua michael jackson au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
maana unamtukuza kama kila mwezi anakupa gawio [emoji23][emoji23]
 
haya tungoje hizo bizness ya america tuone atakua michael jackson au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
maana unamtukuza kama kila mwezi anakupa gawio [emoji23][emoji23]
Nadhani umeshindwa kuelewa mada husika....ila nimesema vizuri tu.....mtu muelewa anaelewa
 
Hujasikiliza one dance ndio maana hujamsikia wizkid.....ila kama umesikiliza one dance basi utakuwa umemsikia wizkid na yule dada
Umesikia sauti ya wizkid mule??? Verse gani
 
Reactions: ora
Watanzania wengi hawana kazi na ni wajinga ndio maana wamejazana huko Insta na facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…