Trimmer
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 2,443
- 4,007
[emoji2] [emoji2] a k a le Mutuz au le akili kubwazKing of all social media ni willy Malecela tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] a k a le Mutuz au le akili kubwazKing of all social media ni willy Malecela tu
70% is approximately a 100%....Tatizo wenzetu hawangalii unafanya nini bali ulifanya nini, wizkid yupo juu ktk kipindi hiki cha mwezi mmoja na nusu baada ya nyimbo ya one dance kushika namba moja tena kashirikishwa, wenzetu tuzo zao wanaangalia zaidi ULIFANYA NINI na ndio maana ADELLE ktk tuzo za Grammy na nyimbo yake ya hello iliyotoka mwezi wa kumi iliyoweka record kimauzo, kukaa ktk billboard chart mda mrefu, hakuchaguliwa ktk category yoyote ktk tuzo za GRAMMY zilizofanyika JANUARY. Sasa subiria mwakani uone adelle atavyokomba tuzo za Grammy, kuanzia wimbo bora, album bora ambayo wiki ya kwanza ameuza kopy 1.25m, na msanii bora. Najua kabisa DIAMOND ana nafasi kubwa za kushinda BET kwa sababu mwaka jana jamaa alifanya vizuri. Najua wengi mtanipinga lkn mpaka mwaka jana ktk list ya wasanii bora Kutoka naija source millard ayo wasanii bora mwishoni mwa mwaka jana. 1.OLAMIDE 2.WIZKID 3.DAVIDO 4.KISS DANIEL 5.TECHNO na ndio maana hata katika tuzo za HEADIES zilizofanyika naija JANUARY mwaka huu, ambazo zinaheshima kuliko tuzo zote naija, msanii bora alikuwa OLAMIDE ambaye nyimbo yake ya BOBO ilifanya vizuri. Kama tukiziweka pembeni hizi timu zetu za KIPUMBAVU, ROHO MBAYA NA CHUKI nina uhakika asilimia 70 DIAMOND anachukua BET.
Hahahaaa[emoji2] [emoji2] a k a le Mutuz au le akili kubwaz
AaaahTwita sio maarufu sana kama insta na fb....
wiz kid level gani sasa? mwendo kasi au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...?Drake msanii mkubwa Duniani nyimbo zinazowekwa kwenye album zinapitia kwenye masikio ya jopo kubwa la wasikilizaji
Na mpaka uone wimbo umetolewa kwenye media mpaka kushika namba moja billboards ni ishu kubwa WizKid sio wa level hizi ila social media kibongo bongo zinasaidia
Wizkid anachotakiwa kufanya sahivi ni kumuomba Dai wafanye hata kolabo moja afikishe hata followers milioni mbili(2mil).... Na ninauhakika akifanya collabo na D atafikisha hao followers na asilimia kubwa watakuwa wabongo
m haimaanishi millionTwitter Wizkid Ana follower 2mil+ na Daimond 300k+ ila hapa mada ni Instagram.......
Turudi kwenye mada
Biznez ya music amerika haiko kama unavyowaza wewe...wiz kid level gani sasa? mwendo kasi au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...?
kupitia kwenye jopo la wasikilizaji wengi bado hakumfanyi mtu kuwa bora!
ujue kwamba drake huyo huyo anaweza kuimba na makamua na ikabamba billboard[emoji23]
bado hujanipa 7bu za ubora/nini hasa kinawafanya mumwone wizkid kama mtu mwingine tofauti...?
HahahaPowerful social network kwa sasa ni instagram
hahahaha watu wa I.T wanajua maana zakeM inamaanisha milioni K inamaanisha laki....so 1M(milioni moja) 1K(laki moja)
hahahaha watu wa I.T wanajua maana zakeM inamaanisha milioni K inamaanisha laki....so 1M(milioni moja) 1K(laki moja)
Yah somehow....... ila tukienda Youtube viewers ndio wana determine nani ni nani.....gap sio ishu kubwa sana kumbuka fb na twita zikikuwepo kabla ya haya mapinduzi ya social media kibongo bongo.....ila kwa sasa insta ndio habari townHahaha
Ila gap lilioko kwny twitter si umeliona!!?
Insta - diamond
Fb- wizkid
Twitter-wizkid
2-1 nadhan point yangu imekuwa valid hapo
haya tungoje hizo bizness ya america tuone atakua michael jackson au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Biznez ya music amerika haiko kama unavyowaza wewe...
Alafu inawezekana hata one dance hujaisikia
Nadhani umeshindwa kuelewa mada husika....ila nimesema vizuri tu.....mtu muelewa anaelewahaya tungoje hizo bizness ya america tuone atakua michael jackson au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
maana unamtukuza kama kila mwezi anakupa gawio [emoji23][emoji23]
Umesikia sauti ya wizkid mule??? Verse ganiHujasikiliza one dance ndio maana hujamsikia wizkid.....ila kama umesikiliza one dance basi utakuwa umemsikia wizkid na yule dada
Huo ni mtazamo wako binafsi...Powerful social network kwa sasa ni instagram