Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

siyo somehow, jamaa yuko sawa kabisa

Engineers hasa huko tanesco, wanamsomesha technician, akimaliza anarudi kuwa Engineer
technician(na artisan) nafasi za ajira nyingi maana yeye ni mzalishaji
Muache aendelee kuimba somehow
 
Umesema kweli lkn F 4 anasoma Dip kwa miaka 3 sio miwili
 
Hao wanapewa vipaumbele sababu ya vimishahara vinavyolipwa kwenye hio sehemu wanayotoa ajira, wanaona kabisa wewe na degree yako pamoja na huo mshahara watakaokupa lazima kazi utafanya kimagumashi
Ndio washakosa sasa, the end justify the mean.
 
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko.

Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14.

Then, nenda chuo anza a professional life; yaani anzia Diploma ya ndoto zako miaka miwili hapa.

Kikawaida, kukamulia Diploma huwa ni nyepesi sana ku score Grade nzuri (ceteris peribus) yaani First Class.

Then, endelea na Degree yako miaka 3 na kuendelea...kaamua pia ukiweza ila cha muhimu usikose upper second.

Hapo shule imeisha. Tunaenda mtaani kusaka ajira.

======

Tupo mtaani. Ajira zinatangazwa na Diploma....unaingiza Team gamba la Degree unaliweka mafichoni.

Shortlist inaanza.....trust me huwezi kukosekana. Why? Cheti chako cha F.4 ni kizuri mno kitakubeba. Ujue wengi wanaopenda kuunga unga vi certificate na vi diploma ni wale ambao F.4 walizingua hivyo ww unaibuka na kupitia katikati yao.....are you getting the logic?

Interview umeitwa.....unapiga interview kwa exposure za ki degree maana kimsingi ni kweli una degree. Trust me unashinda na unaajiriwa.....mbeleni huko unapenyeza gamba rasmi kuendana na utamaduni wa eneo lako la kazi...hii sio dhambi.

Nikusaidie kukumbusha....graduates mtaani ni 'saturated' tunaweza kusema hivyo ki kemia.

Part two......

Mtu aliyeanzia mazaga yake Diploma akiwa mzima kichwani ana nafasi nzuri zaidi ya kukamua jiwe (Degree) bila kutaabika sana.

Mtu aliyeanzia Dip pia ana uwezo mkubwa wa kuwa na exposure ya madude yake kwa kuwa alianza kuhangaika nayo kitambo since Diploma.

Note: Kama una ndoto za masuala ya ki afya hii route sishauri itumike.

Niite system hacker
Mimi chuo nilisoma na waliotoka diploma first class mbona walikuwa wanakula sup alafu tuliotoka 6 tunalala bweni tu na ma Gpa ya juu

Fuata mfumo F.6 inaadvantage yake
 
Hawatanielewa mpaka kitaa kiwape elimu kwanza live in hard way
 
Mimi chuo nilisoma na waliotoka diploma first class mbona walikuwa wanakula sup alafu tuliotoka 6 tunalala bweni tu na ma Gpa ya juu

Fuata mfumo F.6 inaadvantage yake
Hujaelewa kilichoandikwa. Unaonaje ukisoma tena na tena.

Hints: Kikawaida wanaokwenda Dip ni wale walioshindwa kufanya vizuri zaidi F.4. Siwazungumzii hawa.

Bali nawazungumzia vipanga wa Div 1 pt 7 mwisho 14 waende Dip. Sioni ni kwa namna gani wewe mwenye utakuwa na umaalum wa kusoma bwenini upige GPA kali umuache mwenye Dip na Div 1 yake ya pt 7? Sioni....labda itokee kazembea kimasomo tu ila sio eti umemzidi kwa akili za kimasomo
 
Jamaa yuko sahihi lkn kuna mahali kambwela...Nikupe mfano sisi wa idara ya engineeering...Kuna baadh ya Taasis (haswa amabazo vina mandhar ya uviwanda uviwanda..ex. Tanesco..TPA..TRC ) ni ngumu sanaa sanaa sanaa kusikia wanataka engineer mara nyingi huwa wanachukua technician na artisan then mbeleni wakitaka engineer wanachukua ndani ya kiwanda (yn wanapandisha wale wa dip au artsan wenye degree zao) so Kupitia diploma nafikir kuna exposure kubwa kwny masuala ya ajira...then ata waajir wa sekta binafs wanaamin kuliko kuwa na mtu wa degree mmoja bora achukue wa dip wa2 ili ufanisi wa kaz uongezeke...ndomana uwez kuta sehem wanaitajika maengineer 30 ( ukikuta hvo labda intern) ...ngoja niishie hapo ila jamaa somehow yuko sawaa
Upo sahihi mkuu...nimekumbuka mwaka fulani kuna kiwanda kilikua kijajengwa maeneo fulani pakahitajika

Engineer mmoja
Technician mmoja
Artisan saba
Project ilivyoanza baada ya mwezi mmoja Technician akapigwa chini kwa kua alikua alikula parefu halaf kazi anazofanya ni hizo hizo tulizokua tunafanya maartisans japo kielimu tulikua hatumfikii
 
Hujaelewa kilichoandikwa. Unaonaje ukisoma tena na tena.

Hints: Kikawaida wanaokwenda Dip ni wale walioshindwa kufanya vizuri zaidi F.4. Siwazungumzii hawa.

Bali nawazungumzia vipanga wa Div 1 pt 7 mwisho 14 waende Dip. Sioni ni kwa namna gani wewe mwenye utakuwa na umaalum wa kusoma bwenini upige GPA kali umuache mwenye Dip na Div 1 yake ya pt 7? Sioni....labda itokee kazembea kimasomo tu ila sio eti umemzidi kwa akili za kimasomo

Nimekuelewa
Kuna waajiri wana bias wanataka vyeti vya 6

div 1.7 or whatever chuoni ndio mnakutana wote , chuoni wengi unakuta nikawaida kabisa mnasota wote na mnachomoka wote wachache sana wanamaintain ufaulu ule ule
 
Ulichoandika ni sahihi sana kwa yule anayesoma aje apate ajira. Wazo lako halina tofauti na wale waliokuwa wamepiga vizuri six lakini wakaenda education kimakusudi ili wawe na uhakika wa ajira Magu akawashangaza. Form six faida yake kubwa ni kutambulika maeneo mengi.. scholarship kibao. Cheti cha diploma ni sawa na kujifungia fursa zingine. Cheti cha six unakuwa na uwanja mpana wa kusomea vitu vingi. Kuna jamaa yangu alisoma UDSM computer science akaona kitaa haimlipi akarudi Arusha Tech na kusoma civil. Sasa hivi ni mhandisi kwenye miradi ya maji. Cha muhimu pale six kijana afaulu vizuri.
 
Back
Top Bottom