Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

Za kuambiwa changanya na zako🤪
 
siyo somehow, jamaa yuko sawa kabisa

Engineers hasa huko tanesco, wanamsomesha technician, akimaliza anarudi kuwa Engineer
technician(na artisan) nafasi za ajira nyingi maana yeye ni mzalishaji
Kwa tanesco ni sawa mafundi michundo wanawahitaji sana, ni sawa na hospital na manesi hawazi kulingana na madaktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…