Usiende kukopa kwa hizi kampuni maarufu za mikopo hasa kwa Watumishi wa Umma

Hata mabank nayo ni kichefu chefu ukikopa 10m for 5 years just utalipa around 20-22ml
Nahiyo 10m hupew yote hapo watakata
Bima ya mkopo and
Processing fees
Utaingiziwa around 9.1m Kwa account Yako and
You will need to pay the amount I mentioned above
Kukopa ni kazi sana.

Ndio wanasiasa walioshiba wanatwambia kakopeni mfanye biashara.....sasa hapo unakopaje from scratch?
 
Nilichoamua baada ya kuona mabank yananinyanyasa Sana kiuchumi niliamua kujiunga na SACCOS na sijawah kujuta mpaka
Loan interest 10.2 per annum
Kwa mwaka unakula 100k kwenye mkutano mkuu then tunae
Dharula loan interest 7.5 per year hii inae limit up to 4ml
So vijana jiungeni tu na SACCOS but kupanga ni kuchagua
 
Kumbe Saccos ziko poa. Lakini sakosi maana yake na wewe unachangia michango
 
Nilichoamua baada ya kuona mabank yananinyanyasa Sana kiuchumi niliamua kujiunga na SACCOS na sijawah kujuta mpaka
Loan interest 10.2 per annum
Kwa mwaka unakula 100k kwenye mkutano mkuu then tunae
Dharula loan interest 7.5 per year hii inae limit up to 4ml
So vijana jiungeni tu na SACCOS but kupanga ni kuchagua
SACCOS NI KAMA ZIPI MKUU
 
Yaani unakatwaje pesa na umeshamaliza deni? Hapo si ni swala la kuwapeleka mahakamani tu wafundishwe adabu na wakulipe fidia?

Why unacheka na ngiri maji?
 
Back
Top Bottom