Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kukopa ni kazi sana.Hata mabank nayo ni kichefu chefu ukikopa 10m for 5 years just utalipa around 20-22ml
Nahiyo 10m hupew yote hapo watakata
Bima ya mkopo and
Processing fees
Utaingiziwa around 9.1m Kwa account Yako and
You will need to pay the amount I mentioned above
Nilichoamua baada ya kuona mabank yananinyanyasa Sana kiuchumi niliamua kujiunga na SACCOS na sijawah kujuta mpakaKukopa ni kazi sana.
Ndio wanasiasa walioshiba wanatwambia kakopeni mfanye biashara.....sasa hapo unakopaje from scratch?
Kumbe Saccos ziko poa. Lakini sakosi maana yake na wewe unachangia michangoNilichoamua baada ya kuona mabank yananinyanyasa Sana kiuchumi niliamua kujiunga na SACCOS na sijawah kujuta mpaka
Loan interest 10.2 per annum
Kwa mwaka unakula 100k kwenye mkutano mkuu then tunae
Dharula loan interest 7.5 per year hii inae limit up to 4ml
So vijana jiungeni tu na SACCOS but kupanga ni kuchagua
Na unapata faida na kupitia hio michango Kila mwakaKumbe Saccos ziko poa. Lakini sakosi maana yake na wewe unachangia michango
Saccos ni vikoba vilivyo komaa na Wana mtaji mkubwa almost 10b-20blKumbe Saccos ziko poa. Lakini sakosi maana yake na wewe unachangia michango
SACCOS NI KAMA ZIPI MKUUNilichoamua baada ya kuona mabank yananinyanyasa Sana kiuchumi niliamua kujiunga na SACCOS na sijawah kujuta mpaka
Loan interest 10.2 per annum
Kwa mwaka unakula 100k kwenye mkutano mkuu then tunae
Dharula loan interest 7.5 per year hii inae limit up to 4ml
So vijana jiungeni tu na SACCOS but kupanga ni kuchagua