Tunaofanya ujasiriamali huwa tunaondoa last seen pekee, sio blue tick. Last seen mimi naondoa ili siku nikiwa busy mtu asije WhastApp akaona sikuwa online muda mrefu akaacha. Nataka aamini nitajibu soon. Ila bluetick sitoi thou ads huwa hawaweki blue tick mpaka ujibu mara ya kwanza.
Mimi kuna about/username ukija nayo sijui Hunter, Nana, Killer, Mnyama, ma-Junior junior hayo nakuweka kundi fulani. Mara nyingi mteja wa username kama Erastus Kache, au Hamisi Mwinyimkuu at least humpi doubt.
Kwenye mahusiano ndio kabisa, unaficha blue tick, unatumia mods za WhatsApp ni red flag. Unadai "no one can judge me" kwani umetoa mimba?