Usifanye biashara na mtu aliyeondoa blue tick WhatsApp

Usifanye biashara na mtu aliyeondoa blue tick WhatsApp

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye.

Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na kujisikia,ubinafsi,utapeli na roho mbaya be carefull mtandao unauwezo wa kukutambulisha tabia ya mtu.
 
Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye

Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na kujiskia,ubinafsi,utapeli na Roho mbaya be carefull mtandao unauwezo wa kukutambulisha tabia ya mtu
Hata kwa marafiki zangu, nikishaona ambae ameondoa bluetick huwa nakuwa naye makini.
 
Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na +255 783 460 825
Jamani wanaume wanao taka **** na mkundu wa kitonga namba iyo apo mpigien uyo dem anafilana kama Bata alafu kwa Buku 10 tyuuu mzeena Roho mbaya be carefull mtandao unauwezo wa kukutambulisha tabia ya mtu
💯✍️✍️✍️
 
Tunaofanya ujasiriamali huwa tunaondoa last seen pekee, sio blue tick. Last seen mimi naondoa ili siku nikiwa busy mtu asije WhastApp akaona sikuwa online muda mrefu akaacha. Nataka aamini nitajibu soon. Ila bluetick sitoi thou ads huwa hawaweki blue tick mpaka ujibu mara ya kwanza.

Mimi kuna about/username ukija nayo sijui Hunter, Nana, Killer, Mnyama, ma-Junior junior hayo nakuweka kundi fulani. Mara nyingi mteja wa username kama Erastus Kache, au Hamisi Mwinyimkuu at least humpi doubt.

Kwenye mahusiano ndio kabisa, unaficha blue tick, unatumia mods za WhatsApp ni red flag. Unadai "no one can judge me" kwani umetoa mimba?
 
Mnataka mjue nini kwani, kuna kipindi nilitoa hiyo blue tick, last seen, yani nilikuwa nimejificha kweli kweli,
 
Wote wanaotoa blue tick na kujificha ficha, wanatabia za kitoto au ushamba wa mitandao
 
Back
Top Bottom