Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sijui kwa nini napata shida kutoshika uso hususani pua maana toka Corona iingie nnchini nimegundua pua yangu inawasha kila mda na nikivaa barakoa ndio inazidi kabisa.
Hizi barakoa za vitambaa nazo hazina sifa basi tu jana nimepiga chafya maji maji yameruka kutoka ndani ya barakoa mpaka nje ya barakoa. Nikapiga chafya mara ya pili mpaka barakoa imerushwa kule, kwa kweli watafute tu dawa ya Corona ni ngumu sana kutoshika pua. Mungu asaidie. .