Usifanye Haya Unapovaa Barakoa

MUNGU iponye Dunia,
MUNGU iponye Africa,
MUNGU iponye Tanzania,
Katika Jina la MUNGU Baba,Mwana na Roho Mtakatifu
 
Mie sijui kwa nini napata shida kutoshika uso hususani pua maana toka Corona iingie nnchini nimegundua pua yangu inawasha kila mda na nikivaa barakoa ndio inazidi kabisa.

Hizi barakoa za vitambaa nazo hazina sifa basi tu jana nimepiga chafya maji maji yameruka kutoka ndani ya barakoa mpaka nje ya barakoa. Nikapiga chafya mara ya pili mpaka barakoa imerushwa kule, kwa kweli watafute tu dawa ya Corona ni ngumu sana kutoshika pua. Mungu asaidie. .
 
Mi siwezi kukaa muda mrefu bila ya kufikicha macho
Nalog off
 
NMEJIKUTA NACHEKA TUUUUUUUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…